Mim nimefuatilia conversation zako sijaona sehemu kama umetapeliwa, ni defects ambazo ni common kwa electronics appliances ukizingatia nyingi ubora wake uko chini, watu tunanua electronics appliances na tunaingia mfukoni kuzitengeneza kwenye maisha no one is perfect japokua hatualalishi makosa ila hakuna mkamilifu
Unakomaa kumuharibia mwenzako ugali wake/sehemu yake ya rizki huo ni ushamba na roho mbaya unatengeneza mazingira moderator wafute thread yake inavyoonekana ndo matamanio yako, mfano thread imefutwa na moderator wewe itakuongezea nin kwenye maisha yako
Tanzania ni nchi ngumu sana vijana wanajaribu kujikwamua wanapigwa vita pale wanapokosea kidogo tunawakatisha sana vijana tamaa wanaogopa kufanya kitu cha kujikwamua kwa kuhofia wakikosea jamii nzima itawacheka au kuwasakama
Ukija huku maofisioni watu ni vijana wadogo ila mpaka tumepata magonjwa ya pressure sababu mda wowote unakua na hofu ya kukosea yaan ukikosea utakavyosakamwa
Mimi sijawahi nunua bidhaa kwake ila inanipa picha na taarifa ya bei huko sokoni ikoje kitu ambacho sisi watu wa ofisin ni ngumu sana kujua bei zikoje huko sokoni sababu ya ubize wa kazi anapotokea mtu analazimisha narrative yake kwamba mleta uzi ni mbaya inashangaza sana