INAUZWA Ipambe nyumba yako na home appliances nzuri kwa bei nafuu kutoka kwetu

HAIER*
32(Kawaida)....300,000/=

32(smart).........380,000/=

43(Kawaida).....500,000/=

43(smart).........700,000/=

50(smart).......850,000/=

55(smart)......980,000/=

65(smart)......1,420,000/=

65 pro 1,700,000/=

0FD71E1A-51BC-408C-BA71-CF6F53003584.jpeg
 
Hapa naunga mkono hojaa,nilikuwa nafuatilia pia hii sakata lenu.ilipaswa muuzajii akuletee huo wire anaosema unasupport ili ujiridhishe...mimi pia nimenunua tv kwake tcl nch 43 ipo vzr kabisa na nililetewa bahati mbaya sikuletewa risit yangu ya manunuzi.huko juu kwenye uzi nimemgusia risit lakini kanipita kama hanioni..hapa inatuua nguvu wateja..nilitaka niagize sony music system kwake lakini kwa yanayoendelea hapa naona kuna kaubabaishaji.ajitasimini.
,

Sent using Jamii Forums mobile app
Bora ww umesema
 
,

Sent using Jamii Forums mobile app
Bora ww umesema
Mim nimefuatilia conversation zako sijaona sehemu kama umetapeliwa, ni defects ambazo ni common kwa electronics appliances ukizingatia nyingi ubora wake uko chini, watu tunanua electronics appliances na tunaingia mfukoni kuzitengeneza kwenye maisha no one is perfect japokua hatualalishi makosa ila hakuna mkamilifu

Unakomaa kumuharibia mwenzako ugali wake/sehemu yake ya rizki huo ni ushamba na roho mbaya unatengeneza mazingira moderator wafute thread yake inavyoonekana ndo matamanio yako, mfano thread imefutwa na moderator wewe itakuongezea nin kwenye maisha yako

Tanzania ni nchi ngumu sana vijana wanajaribu kujikwamua wanapigwa vita pale wanapokosea kidogo tunawakatisha sana vijana tamaa wanaogopa kufanya kitu cha kujikwamua kwa kuhofia wakikosea jamii nzima itawacheka au kuwasakama

Ukija huku maofisioni watu ni vijana wadogo ila mpaka tumepata magonjwa ya pressure sababu mda wowote unakua na hofu ya kukosea yaan ukikosea utakavyosakamwa

Mimi sijawahi nunua bidhaa kwake ila inanipa picha na taarifa ya bei huko sokoni ikoje kitu ambacho sisi watu wa ofisin ni ngumu sana kujua bei zikoje huko sokoni sababu ya ubize wa kazi anapotokea mtu analazimisha narrative yake kwamba mleta uzi ni mbaya inashangaza sana
 
Sikujibu maneno mengi na sipo hapa kumuharbia mtu biashara naomba nikuulize maana ya waranty ni nn..? kitu nimenunua lkn kina chngmoto na hio ni jambo la kawaida sabb hata mm inanitokea ninanua vtu vnakua na chngmoto kwenye electronics hiv vtu ni kawaida sana je sina haki ya kurudsha nirekebishiwe...?ina maana sio haki yngu..? Na bora nngekua nimepata hy chngmot afu nkaja direct huku sijafanya hvo nmemfuata priivate sijapata muafaka wa maana na sipewi suport nngefanyaje ..? Nimekosea nn apo

Hio tv umenunua lini, je hiyo changamoto yako imeanza tu baada ya siku kadhaa kununua tv au ilianza baada ya miezi kadhaa naomba unijibu hili swali

Mim nikinunua tv shiishi tu kutest kwamba inawaka, bali nahakikisha port zote zinafanya kazi na hili nahakikisha nalifanya siku hio hio nimenunua tv sisubirii baada ya miezi minne au sita ndo nimwambie port flani haifanyi kazi najua nitakua nimpe sababu ya kukataa ni rahisi sana ya kuniambia kwanin hukuniambia mwanzo
Sababu hawa ni wafanya biashara wanafanya kila namna ya gharama zishilalie kwao

Na je masharti ya warranty unayajua sababu unatakiwa ujue warranty ina masharti yake, unavyonunua kitu kwa mtu unatakiwa umuulize hii warranty ina-cover mambo yapi na yapi na yapi haigusi ni muhimu sana

Mfano ukinunua simu ukipasua kioo sio sehemu ya warranty hapo lazima uingie mfukoni
 
Tokea nimenunua port haifanyi kazi nikajua labda redio yangu ndo inashida nmekaa baada ya miez 3 na nusu ni.enunua redio ingne mambo n vike vile ikabd nimcheki jamaa ila ndo kama hvo lakn bro yameisha nimejitoa acha nikomae na tv yngu hayo mengne hayanihusu tena staki kuonekana namuharbia jamaa enu biashara zake mi nimefikisha ujumbe napta hivi [emoji112][emoji112] tu kwa sasa hv

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom