INAUZWA Ipambe nyumba yako na home appliances nzuri kwa bei nafuu kutoka kwetu

INAUZWA Ipambe nyumba yako na home appliances nzuri kwa bei nafuu kutoka kwetu

Mashine ya juice ya miwa sh 1,300,000/=
images (60).jpeg
 
Mkuu hisense smart nchi 45 na 50 sh ngapi?
 
Tofauti ya smart na smart 4K ni nini?
Resolution ndo inayotofautisha smart tv na smart tv 4k
Smart tv Ina resolution ya 191080 horizontal pixels, huku smart tv 4k Ina resolution ya 38402160 horizontal pixels mara nne zaid ya smart tv ya kawaida

Tofauti yake ni generation na ubora mfano inayofuata ni smart tv 8k ambayo bado haijatoka itakua Bora Zaid ya smart 4k
 
H60 hise ya 320,000 ipoje mkuu

0715 378899 whatsapp
 
Mimi nataka friji la milango 2 offer yangu ni 300,000 hadi 350,000

0715 378899
 
Back
Top Bottom