Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
duka lipo karibu na dcc kariakoo, na lingine lipo aggrey na ndandaWanataka wewe upo ofisi gani au duka gani unafanyia kazi ili aje akukute anajua kkoo maduka ni mengi yeye anataka aje kwako. Mbona simple tuu
_Table gas cooker _Ukipost majiko yenye oven nitag mkuu
_Table gas cooker _
Solstar (2 plates, kioo). 150,000
Solstar (2 plates, Bati). 100,000
Europe (2 plates, kioo). 90,000
Alitop. (2 plates, kioo). 90,000
Westpoint (2plates,Kioo) 120,000
Trophacom (2plates,kioo) 90,000/=
_Standing Cookers _
VON
(60*60, 3G+1E+EO) 600,000
(50*50, 3G+1E+EO). 510,000
BRUHM
(60*60, 4G+ GO). 550,000
SOLSTAR
(60*60, 3G+1E + EO). 710,000
(50*50, 3G+1E +EO). 560,000
EURONE
(60*60, 3G+1E+EO). 660,000
(50*50,3G+1E+EO). 530,000
MO ELECTRO
(60*60, 3G+1E+EO). 590,000
HOMEBASE
(50*50, 3G+1E+GO). 450,000
ROCH
(60*60, 3G+1E+EO). 610,000
(50*50, 4G + EO). 500,000
ALITOP
(50*50, 3G+1E+GO). 380,000
(50*50, 3G+1E+ EO). 420,000
[emoji1369]Note:
3G+1E+EO: Ina maana jiko lina plate 3 za gas, plate 1 umeme na Oven ni umeme
4G+GO: Ina maana jiko lina plate 4 za gas na Oven ni Gas
4G+EO: Ina maanisha jiko lina plate 4 gas na oven yake ni umeme
Tumia hii ndo iko economicalMkuu kama hutojali naomba picha na utofauti wa ubora kati ya haya hapa.
I]BRUHM[/I]
(60*60, 4G+ GO). 550,000
I]HOMEBASE[/I]
(50*50, 3G+1E+GO). 450,000
50*50, 3G+1E+GO). 380,000
Kitu kingine naomba ushauri. Umeme nyumbani kwangu Nina tariff 4 ndio maana unaona nachagua zaidi Gas kuliko umeme. Oven ya gas na umeme ni ipi nzuri?
Matumizi ya umeme au gas upande wa oven ni upi ni nafuu zaidi.
Asante sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna boya anatafutwa hapa kupigwa na kitu kizito chenye ncha kali na atapatikana tu kwasababu watanzania hatujifunzi.
mrangi
Ndo maana niliamua kuanzisha huu Uzi Ila Kuna watu wengi nimeshawauzia home appliances wengine dar wengine mkoaniDuuh tatizo mpunga tu….kuna jamaa mmoja alinibambia tv nikiona hzi price moyo unauma kinoma…
Zile Sina kakaFeni za panga boi zile ndogo za Balaj au Usha shi ngapi