Ramoth Gilead Appliances
JF-Expert Member
- Aug 2, 2021
- 1,764
- 558
- Thread starter
- #1,601
Jiko la plat1 umeme Kwa PC 40,000/=
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huu wayaa naupatajeeeUbora wake kwenye kutumia ila kwa kuziangalia sio rahis kuzijua lakin zikiwa sealed kwenye mfuko wake unakua umeandikwa
Unakaa dar tuwasiliane kupitia hii namba 0713520180 tuangalie namna ya kukuleteaHuu wayaa naupatajeee
Tufanye biashara hiliMr uk 108 white (108L).....500,000/=
Unaishi dar alafu nicheki namba hiz hapa 0713520180Tufanye biashara hili
Nitajuwaje kama Hisense TV ni original ama siyo original?Call/WhatsApp-0713520180
Tuna delivery unakagua mali ndo unalipa kwa walioko dar na mkoan tunasafirisha karibuni.
Hisense smart 4k sh 700,000/=
Hisense smart sh 680,000/=
Hisense led sh 620,000/=
Original ina warranty ndani na serial namba ya warranty inaendana serial namba iliyopo kwenye boxNitajuwaje kama Husense TV ni original ama siyo original?
Kwani kuna tofauti ya TV za vibanda umiza na za kawaida???tofauti yake ni nini...?iwe nzuri kwenye vibanda umiza?Goodvision normal inch 32 double glass sh 270,000/=
Goodvision smart tv inch 43 double glass sh 550,000/=
Hizi ni nzuri kwa ajili ya vibanda umiza na kwenye vibanda vya ps ni imara sana
Tunafanya delivery ndo unalipa
Call/WhatsApp-0713520180
Kuna tv za kazi ambazo sio za kazi point ni uimaraKwani kuna tofauti ya TV za vibanda umiza na za kawaida???tofauti yake ni nini...?iwe nzuri kwenye vibanda umiza?