conductor
JF-Expert Member
- May 29, 2013
- 811
- 681
Wawili (me&ke afu wapenzi) wanatembea kwenye njia yao (walkway). na wametanua njia (freely),bodaboda akaja kwa MWENDO na ikambidi apige honi wampishe..,"ME" akashtuka na nakusema, unapitaje HUKU wakati BARABARA kubwa ipo?
H
araka bodaboda akajibu, UMASKINI wako ndo unakupigisha kelele na kudhania we kidume bora Sana kisa tu unampenzi wako,, ungekuwa na pesa yakupanda badaboda nawe ungesema tupite huku tuwahi kufika . Stori ikaishia hapo. Ipe title hii message ukihihusisha na WANASIASA na Wapiga kura wao.
H