iphone 11 plain for sale

iphone 11 plain for sale

Leejay49

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2023
Posts
16,388
Reaction score
51,970
Wakuu niko na iPhone 11 plain hapa naiuza,
128gb,
Face id bado ipo
Battery health now inasoma 73%
Ina crake kidogo kioo cha nyuma,.
Kama unahitaji hit my dm Asap!

Kama uko Songea pia itapendeza zaidi, uje uione mwenyewe
 
hAha kwanini😂😂
Hazinipi uhuru naouhitaji! mimi kidogo ni mtundu mtundu so kuna baadhi ya application nikizitaka kwenye iPhone hazikubali ama kwenye store yao haipo!, inakuwa kama nipo gerezani!.
 
Hazinipi uhuru naouhitaji! mimi kidogo ni mtundu mtundu so kuna baadhi ya application nikizitaka kwenye iPhone hazikubali ama kwenye store yao haipo!, inakuwa kama nipo gerezani!.
Mnunulie waifu
 
Lejei fote nai, una mikono laini,soft,nyororo. unavyong'aa mamaa huntii shaka, mjeshi nipo , cash nipo race kwenye kuzisakaaa.
 
Hazinipi uhuru naouhitaji! mimi kidogo ni mtundu mtundu so kuna baadhi ya application nikizitaka kwenye iPhone hazikubali ama kwenye store yao haipo!, inakuwa kama nipo gerezani!.
Utundu kwenye iPhone rahisi sana. Kipindi nina Iphone nilikuwa naweka paid/cracked apps kupitia iTunes bila kuijailbreak
 
Back
Top Bottom