mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 31,415
- 38,761
Wakuu mambo vipii
Naombeni mnisaidie majibu kwa wale ambao wameshatumia sim hizi zote mbili,nataka nijue kutoka kwenu sim ipi ni bora kati ya iPhone 12 plain na iPhone 11pro, kuanzia kwenye picha ipi inatoa picha Kal kulko mwenzie na ni ipi performance yake ni nzur kwa matumiz ya Mtanzania.
NB: KISWAHILI KIELEWEKE SIJAULIZA KUHUSU ANDROID SO SITAKI COMMENT ZA OOH ANDROID FLAN NI NOMA SIJUI NINI NI NINI.
TUHESHIMIANE GUYS.
View attachment 2615338View attachment 2615337
Chukua 12 ni nzuri zaidi,hata kwa umbo ni kubwa zaidi.