Wakuu mambo vipii
Naombeni mnisaidie majibu kwa wale ambao wameshatumia sim hizi zote mbili,nataka nijue kutoka kwenu sim ipi ni bora kati ya iPhone 12 plain na iPhone 11pro, kuanzia kwenye picha ipi inatoa picha Kal kulko mwenzie na ni ipi performance yake ni nzur kwa matumiz ya Mtanzania.
NB: KISWAHILI KIELEWEKE SIJAULIZA KUHUSU ANDROID SO SITAKI COMMENT ZA OOH ANDROID FLAN NI NOMA SIJUI NINI NI NINI.
TUHESHIMIANE GUYS.
View attachment 2615338View attachment 2615337
Hapana kaka 12 ina umbo kubwa kuliko 11pro.
Maana ni muendelezo wa 11plain abayo ilikuwa na umbe kubwa kuliko 11pro.
So kila kitu ni bora zaidi kuliko 11pro,ingawa kama ni mshamba wa macho 3,12 ina mawili tu.
Sawa mkuu ngoja waje.
Mimi nimetumia 11 plain na sasa nipo na 13 pro max. Ungeuliza hapa ningekushauri uchukue 11 plain. Ni simu nzuri sana picha hadi kukaa na chaji inatoboa hata siku 2.
**** la mamako go and fucking ur self"NB: KISWAHILI KIELEWEKE SIJAULIZA KUHUSU ANDROID SO SITAKI COMMENT ZA OOH ANDROID FLAN NI NOMA SIJUI NINI NI NINI.
TUHESHIMIANE GUYS."
Maneno ya kike kabisa
Asante bruhChukua 12 ni nzuri zaidi,hata kwa umbo ni kubwa zaidi.
Nani kasema iPhone inakuzuia kudownload app?Chukua tecno phantom bwana mkubwa
Mwanaume haya makelele yote unayopiga hapa hayana maana unatumia simu inakuzuia usidownload app
Yani Mwanaume kitu kidogo kama simu unataka kikuendeshe wakati maisha pia yanataka kukuendesha
Empty cell
Mkubwa kwanza heshima yakoNani kasema iPhone inakuzuia kudownload app?
Kwani App store kwenye iPhone ina kazi gani [emoji848][emoji848]
Yeah ni kweli kuna application nyingi kwenye Play Store kuliko App store, na bado kwenye Android unaweza kudownload apps nje ya Play StoreMkubwa kwanza heshima yako
I know kuna apple store
Nilitaka ni evoke reaction toka kwa mtoa mada maana keshasema hamna kutaja androids
Ila tukirudi kwenye swali
I stand to be corrected app za android zipo nyingi zaidi kuliko apple
Kuna app apple huwezi kuzipata lakini android zinapatikana
Hilo ndo ninalolijua