Iphone 15 original

Cha mwishombona bei ya 14 na 15 almost same?
Na hizo changamoto za 15 is it worth???
Zinavumikika?
 
Aisee
Yaani ndio zimetoka au "sizitaki mbichi hizi" 😄 🤣
Kidding
Mbona ni kama 14 tu iliyoboreshwa na kubadilishwa kidogo
Wanasema upande WA joto....unapata moto sana...
Sio sizitaki mbichi hizi...
Nimeona wamejadili sana...
Ila nilitaka 14 either 14 au plus yake lakin naona bei hazipishani na 15....
 
Baki kwenye 14
Tuishi humo...
Binafsi Samsung hata ya bei sana....nazipenda Kwa kweli...
Nzuri...
Ila Kwa kazi nayoitaka camera ndo SI unit....picha za Samsung za kisabato sana...picha flan Ina kama ka ukungu...
So naona ninunue 14....
Eeeh nikachek bei za 14 naona hazitofautian sana na 15....nikasema embu tu tumalizie hili swala...
Naona watu wanasema 15 inapata moto ilo bati lake unaweza injika chakula.
Nabak njia panda. Binafsi Mimi mgeni katika hii kitu
 
Cha mwishombona bei ya 14 na 15 almost same?
Na hizo changamoto za 15 is it worth???
Zinavumikika?
Kama chanzo cha taarifa za ubovu wa 15 kazitoa mkuu hapo juu ni taarifa amezitoa kusapoti kwamba Makumbusho kuna used iphone 15
 
Wanasema upande WA joto....unapata moto sana...
Sio sizitaki mbichi hizi...
Nimeona wamejadili sana...
Ila nilitaka 14 either 14 au plus yake lakin naona bei hazipishani na 15....
Troubleshooting huwa zinatokea kwa moja moja ila sio zote
Vipi kwa hapo ulipo zinauzwaje? Kama hu mind
Na hiyo ya sungura sikumaanisha wewe sorry
 
Wanakuja kukwambia kama shida ni camera chukua google pixel.

Hizo 15 ambazo bado hazijawa nyingi Makumbusho, na zimeanza kuleta feedback mbovu heri ungetulia tu.

Chukua 14/13… 13 inakaa na chaji..
14 sijui
 

Chukua 14 pro max 1Tb storage, kama ni maswala ya pictures and pro videos na editing.
 
Tofauti na mlimani city, kwingn Sina hakika sana Kuna bro moja kariakoo aliniuzia 11 & 14 nikatuma Mkoani sijapokea feedback yeyote mbaya!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…