Tetesi: iPhone 16 itafanana mwonekano wa Camera za Samsung S24

Apple haingii kwa design kwa samsung.

tatizo hizi low end A series ndizo tunakutana nazo kila siku za maplastiki tunadhani ndio samsung kamili katika 1 na 2
Tofauti ya A series nyingi na S series kwenye design sanasana ni material ila mwonekano hufanana
Angalia Samsung Galaxy A35, ni kama tu Samsung Galaxy S24 au S24 plus na ni jambo jema
Kwa upande wangu Samsung Galaxy A35 ina mwonekano mzuri kushinda iPhone 15 Pro Max
 
Halafu hizi zinazouzwa bongo ni tofauti na Ulaya. Nimenunua A 55 Finland iko vizuri balaa.
 
Ni kweli kabisa 15 ina muonekano premium,ila muonekano mzuri 35 iko poa sana.
 
Hizi ni concept tu but sio official design, so sio rahis kusema hii ndio iphone mpya nope
 
Mkuu Samsung Galaxy A55 utakayonunua Marekani na utakayonunua Kariakoo ni ileile. Labda tofauti ziwe vitu kama network band, etc
Ofcourse US wana network band tofauti, na hii ni kwa simu zote za soko lao. Masoko mengine even china wana demand tofauti
 
Nafikiri design ya 15pm na samsung is up to user, si wote wanapenda sharp ages and big screens, even os. Wapo wanaopenda round edges, with screen ndogo kidogo.

Najuaje ? I have samsung S24 plain, sijachukua ultra sababu ya shape, and also i got 15 plus ambayo difference yake between pro ni camera tu.
But all in all zote kuna mahali zimezidiana na kuna mahali ni same, so taste ya user mwenyewe, na users wametofautiana
 
Kweli kabisa mkuu.
watu wana taste tofauti sana,ndio maana kwa wenzetu ambako kuna apple au samsung store inabidi uwekewe bidhaa zote husika za mwaka huo,ili ujipimie,sema huku kwetu ndio hivyo.
 
Ila huu n usnitch sasa hy 16 SE ndio upuuzi gn?
 
Maneno ya khanga na singeli. Aliyekwambia iPhone ni za kuuzia sura nani?

Nimeweka hoja kwanini iPhone mwisho wa siku inaizidi Samsung, ukadai Samsung ina urembo. Nikakwambia suala la urembo ni mtazamo binafsi wa mtu huyu anapenda edge, huyu anapenda umbo la mstatiri. Sasa unadai iPhone ni ya kuuzia sura, mara sijawahi shika Samsung.

Nilikupa task nyepesi. Katazame used iPhone 12 Pro inauzwa bei gani na Samsung S21 Ultra inauzwa bei gani, na zote ni toleo la mwaka mmoja. Alafu zichukue used zote uzipime utajua baada ya hype kuisha, kwanini iPhone ndio inabaki imesimama.

Au chukua used iPhone 14 na Samsung S23 record video ya tangazo lako la biashara, post Instagram uone ni video gani itabaki na original quality. Sijakutaka uchukue S24 vs iPhone 15 sababu hapo hutoziona tabia za Samsung ikizeeka camera lenses.
Mwaka 2014 flagship ya Samsung ilikuwa Galaxy S5, itafute linganisha na iPhone 6 Plus ya mwaka huo.

BTW situmii simu mojawapo kati ya hizo. Na sina mpango
 
Hizi ni concept tu but sio official design, so sio rahis kusema hii ndio iphone mpya nope
Rumors zinasema iPhone 16 zitakuwa hivi
Mara nyingi rumors huwa sahihi, nakumbuka hata design za iPhone 13 na 13 mini zilianza na rumors na mwisho zikawa vilevile kama rumors zilivyokuwa zinasema

 
Rumors zinasema iPhone 16 zitakuwa hivi
Mara nyingi rumors huwa sahihi, nakumbuka hata design za iPhone 13 na 13 mini zilianza na rumors na mwisho zikawa vilevile kama rumors zilivyokuwa zinasema

View attachment 3017388
Lets see and wait if rumors zitakua right. Last time waliabiri iphone 15 itakuwa na new design well ikatoka ile ile
 
Ushamba ushamba tu huu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…