mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 31,415
- 38,761
Mbona povu kijana??hakuna sehemu nimesema iphone ni ya kuuzia sura labda ndio mtazamo wa baadhi yenu iphone noma.Maneno ya khanga na singeli. Aliyekwambia iPhone ni za kuuzia sura nani?
Hakuna kitu iphone inaizidi samsung,nimekwambia hivyo labda hujawahi shika,mtu ambaye kashika s24 ultra au 23 ultra na 14/15 pro max kwa pamoja ataungana na mimi,tatizo mnashika a05 mnakuja na hoja zenu za iphone noma.Nimeweka hoja kwanini iPhone mwisho wa siku inaizidi Samsung, ukadai Samsung ina urembo. Nikakwambia suala la urembo ni mtazamo binafsi wa mtu huyu anapenda edge, huyu anapenda umbo la mstatiri. Sasa unadai iPhone ni ya kuuzia sura, mara sijawahi shika Samsung.
ndio maana nasisitiza hujui simu na soko lake linavyokwenda,nokia 3310 ya zamank utauziwa bei ghali kuliko mpya sababu ni upekee wake,Nilikupa task nyepesi. Katazame used iPhone 12 Pro inauzwa bei gani na Samsung S21 Ultra inauzwa bei gani,
Kinachofanya iphone idumu na thamani ni kwa sababu upekee wake sio ubora pekee,na hili toka siku ya kwanza ndio ulikuwa msimamo wa jobs kuweka IOS kuwa clossed itumike na Apple pekee.
Wachana na iphone inabaki imesimama,wewe na akili timamu unawezatoa 1.2 leo hii kununua iphone 12 pro😂😂???huwezi sababu unajua ina thamani nzuri ila imepitwa na wakati.na zote ni toleo la mwaka mmoja. Alafu zichukue used zote uzipime utajua baada ya hype kuisha, kwanini iPhone ndio inabaki imesimama.
Kijana jitahidi kuchagua simu nzuri kwenye battle yako,haya majaribio haufanyi wewe peke yako yako youtube tunayaona.Au chukua used iPhone 14 na Samsung S23 record video ya tangazo lako la biashara, post Instagram uone ni video gani itabaki na original quality. Sijakutaka uchukue S24 vs iPhone 15 sababu hapo hutoziona tabia za Samsung ikizeeka camera lenses.
Madai ya samsung kuchoka lenzi ni madai ya kijana aliyetumia a02😄,samsung inazeeka lenz,au umechukua refub ikaingiza vumbi kwenye lenzi ndugu yangu??
Leo hii mwenye s5 ana uhakika wa kuitumia simu kwenye social network zote, 6 hata X light app huingii.
Mwaka 2014 flagship ya Samsung ilikuwa Galaxy S5, itafute linganisha na iPhone 6 Plus ya mwaka huo.
Wewe tumia iphonesBTW situmii simu mojawapo kati ya hizo. Na sina mpango