Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuu nina 150,000 hapa...Karibuni kununua iPhone 16 Promax
Kuna nadharia moja kwenye biashara ambayo Mchina anaifanyia kazi sana japokuwa in a negative way.....kwamba kabla ya kuanzisha biashara unatakiwa uzingatie kwamba inakwenda kutatua changamoto kwenye Jamii. Wakati sie tukimwona mtu amevaa nguo chakavu na viatu ili mradi tunamsikitikia wenzetu Wachina wanakuja na product ya bei nafuu mno (fake) ambayo yule mtu anaweza akaimudu naye akavaa viatu ama nguo kama wengine.Hivi vikopi huwa naviona kwa watoto wa chuo,Afrika tuna ujinga wa kiwango cha PhD.
Hatujali kuhusu madhala,cha msingi tuonekane na tuna iphone 16 pro max
Wewe unaumia nini?Kuna nadharia moja kwenye biashara ambayo Mchina anaifanyia kazi sana japokuwa in a negative way.....kwamba kabla ya kuanzisha biashara unatakiwa uzingatie kwamba inakwenda kutatua changamoto kwenye Jamii. Wakati sie tukimwona mtu amevaa nguo chakavu na viatu ili mradi tunamsikitikia wenzetu Wachina wanakuja na product ya bei nafuu mno (fake) ambayo yule mtu anaweza akaimudu naye akavaa viatu ama nguo kama wengine.
Ndo na hapa ulivyosema watu hawaangalii madhara huku Mchina tayari kaishasoma akili za watu (hasa Waafrika) kuhusu iPhone, anaingia chimbo anawatolea kitu cheap kukidhi mahitaji ya nyoyo za wapenda sifa ambazo sio zao na bahati mbaya hizo simu hata kiwanda chake hakijulikani hivyo uwezekano zikawa na madhara ni mkubwa zaidi na ukute zinaingia kama toy za watoto.
Si mnataka kuonekana mna hela😂Heeeeh! Shida yote ya nini🙆♂️🙆♂️🙆♂️
Si mnataka kuonekana mna hela😂Heeeeh! Shida yote ya nini🙆♂️🙆♂️🙆♂️
China sheria inawabana kuzizalisha na kuuza kwao. For export only!Kuna nadharia moja kwenye biashara ambayo Mchina anaifanyia kazi sana japokuwa in a negative way.....kwamba kabla ya kuanzisha biashara unatakiwa uzingatie kwamba inakwenda kutatua changamoto kwenye Jamii. Wakati sie tukimwona mtu amevaa nguo chakavu na viatu ili mradi tunamsikitikia wenzetu Wachina wanakuja na product ya bei nafuu mno (fake) ambayo yule mtu anaweza akaimudu naye akavaa viatu ama nguo kama wengine.
Ndo na hapa ulivyosema watu hawaangalii madhara huku Mchina tayari kaishasoma akili za watu (hasa Waafrika) kuhusu iPhone, anaingia chimbo anawatolea kitu cheap kukidhi mahitaji ya nyoyo za wapenda sifa ambazo sio zao na bahati mbaya hizo simu hata kiwanda chake hakijulikani hivyo uwezekano zikawa na madhara ni mkubwa zaidi na ukute zinaingia kama toy za watoto.
Mweeeeeh!! Ila watu wana taabu🙆♂️🙆♂️Si mnataka kuonekana mna hela😂
Lengo ni kuonekana tajiri. Huu ndio ujinga ambao ukiufanyia kazi hapa Africa unatoboa mazima.Hivi vikopi huwa naviona kwa watoto wa chuo,Afrika tuna ujinga wa kiwango cha PhD.
Hatujali kuhusu madhala,cha msingi tuonekane na tuna iphone 16 pro max
Kuna dogo nilimeet nae wa hapo UD. Akawa na simu mbili moja iPhone 11 na nyingine naona macho matatu hafu mbele ila kile ki-island kwenye kioo, so nikajua hii ni 14 Pro Max.Hivi vikopi huwa naviona kwa watoto wa chuo,Afrika tuna ujinga wa kiwango cha PhD.
Hatujali kuhusu madhala,cha msingi tuonekane na tuna iphone 16 pro max