Battor
JF-Expert Member
- Mar 21, 2019
- 1,964
- 3,496
Kuna mtu alinishangaa kwanini naziuza wakati mimi nina simu iphone toleo la zamani kabisa. Nikamwambia hizi ni za ma boss kama nyie basi alifurahi kweli akatoa hela akachukua.Si mnataka kuonekana mna hela😂