Kuna mtu alinishangaa kwanini naziuza wakati mimi nina simu iphone toleo la zamani kabisa. Nikamwambia hizi ni za ma boss kama nyie basi alifurahi kweli akatoa hela akachukua.Si mnataka kuonekana mna helaπ
Kumbe unazo copy unauza mzee babaπ mnapiga hela sana wazee, mi mwenyewe nataka line ya kuzipata kwa bei ya kitonga from china niuze chap chap.Kuna mtu alinishangaa kwanini naziuza wakati mimi nina simu iphone toleo la zamani kabisa. Nikamwambia hizi ni za ma boss kama nyie basi alifurahi kweli akatoa hela akachukua.
Njoo inbox tufanye biashara chap.Kumbe unazo copy unauza mzee babaπ mnapiga hela sana wazee, mi mwenyewe nataka line ya kuzipata kwa bei ya kitonga from china niuze chap chap.
So kwamba ndo naziuza official hapana, nikucheza na fursa tu. Watu si wanapenda waonekane matajiri, nina agiza china mizigo ile inayotoka kwa haraka ikiwemo iphone 16 pro max za laki 2π€£π€£.Kumbe unazo copy unauza mzee babaπ mnapiga hela sana wazee, mi mwenyewe nataka line ya kuzipata kwa bei ya kitonga from china niuze chap chap.
Umeamua kubadili ID kabisaLeta hapa hiyo iphone na mimi nikatambe kubababakee
Kitu macho matatu kwa bei cheee.
Nyie mnaopenda orijino endeleeni KUBOMOLEWA VINYEO hadi muombe pooo.
MIRIONI SITA WE KUWEZAA??
Cc: Lamomy Mbaga Jr mshamba_hachekwi cocastic dronedrake The Icebreaker Kapeace Kalpana Extrovert Mzee wa kupambania Maghayo
ile wameiblock bana πππ nimekumiss mme wanguUmeamua kubadili ID kabisa
Eh bhana sasa hy sura hapo itanifanya nisisimamishe vzrile wameiblock bana πππ nimekumiss mme wangu
Na mm nikuulize unaiuza kwa ajili ya nn?ili ugundue nini? punguza shobo
πππ€£π€£ we hiyo sura ya hendsam boi kabisa kuliko lile jimama lenye sura kama jiwe πEh bhana sasa hy sura hapo itanifanya nisisimamishe vzr
BICHWA KOMWE - acha mambo ya kisenge jamvin.Leta hapa hiyo iphone na mimi nikatambe kubababakee
Kitu macho matatu kwa bei cheee.
Nyie mnaopenda orijino endeleeni KUBOMOLEWA VINYEO hadi muombe pooo.
MIRIONI SITA WE KUWEZAA??
Cc: Lamomy Mbaga Jr mshamba_hachekwi cocastic dronedrake The Icebreaker Kapeace Kalpana Extrovert Mzee wa kupambania Maghayo
KAY-NGAYDuh! kumbe DIVISHENI FOO ndio Demu wako BICHWA KOMWE - ?