Andazi
JF-Expert Member
- Jul 30, 2022
- 1,113
- 2,234
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
basi kufikia hapa mi simo...😁Huyo aaliyyah nipo nae namla sa sijui inawezekana vipi chakula kumla mpishi
Macho yanaenda kuliwa vibaya mno. Wasanii na wale SlayqueensHahh wale masista duuu Depal na nyie vibiuhandsom boy wa makumbusho mixer virasta na mkorogo muda wa kumkaribisha mgeni nyumani na chooni
Msijali mwakani muda kama huu pia mtateseka kwa desing ileile na ai features
Karibuni tuchangie mada tusiwasahau walionunua iphone 16 used makumbusho
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jamaniiii, khaaaaah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hapo unakutana na Dume na lenyewe Lina 16 mkononi Lina ringishia wanaume wenzie