and 998 others
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 28,477
- 40,278
Punguza uhuni, iphone 17 haijatoka, haijawa released officialKaribuni kwa mahitaji ya iPhone 17 Pro max. Tupo Makumbusho, Nigeria Street, house #12
Bei NI Tsh 290,000
Bado haijatoka ila kwa Rumors kuna watu mpaka bei wamezipangia
Kwa pro ni kuanzia 3m
Zinatoka lini hukoKwanini ulipe 3m? Wakati zipo za 290,000?
Karibu tukuhudumieZinatoka lini huko
Maana hapa zinatarajiwa kutoka mwezi wa Tisa kama kawaida yao matoleo hutoka September
Ila kama bongo mpo mbele ya wakati hongereni sana
Labda ibhoneKuna mtu analiwa kichwa muda si mrefu.
Ni vichekesho tu maana hata mchina bado hajatoa 😄 🤣 labda made in tzJAMAA KAFANYA JOKE ILA KUTOKANA NA UGUMU WA MAISHA KILA JAMBO WATU WANALICHUKULIA SERIOUS