iPhone 17 pro max zinapatikana Makumbusho kwa Tsh 290,000 tu

Bado haijatoka ila kwa Rumors kuna watu mpaka bei wamezipangia
Kwa pro ni kuanzia 3m
 
Copy hizo acha kabisa Kuna watu waliagiza Sasa wameamua kuwapa watoto wachezee game πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…