Kwasasa watu waachane na hizi simu mpya kwa miaka ya karibuni hazina mabadiliko makubwa, kwa wapenzi wa Samsung aishie S24 ultra, kwa wapenzi wa Iphone waishie 15 pro max
Boss mkubwa kama weweNoma sana ,watu wanapigwa pesa kwa kila toleo ,mimi nina miaka 7 natumia simu moja tu sijabadili ,mpaka izime ndiyo nabadili ,sina ushamba wa kushadadia matoleo as long as napata whatsapp ,insta,face,JF ,youtube,browser,camera baaasiiii.
Mambo ya kuuziwa godoro halafu unanyimwa usingizi.Itategemea ram yake ila entry price ni tshs 4 mil.
Hahahaa hapana mkuu ,naunga unga life la kuchoma na kuuza mkaa!! Sijafikia hizo level za kubadili cm kila toleo likija bado ungaunga mwana.Boss mkubwa kama wewe
Nimetoka Samsung na sasa nipo Iphone, natumia 14 pro max.iPhone user ni wakuonewa huruma kabisa kiukweli sioni kama wanatendewa haki na kampuni lao ukilinganisha na pesa wanayolipia hizo bidhaa.
Imagine juzi hapo Apple wameachia iOS 27 na moja ya feature waliyosema ni mpya ni hii.
"iOS 27 imekuja na features mpya ya volume control kuifanya simu iwe na uwezo wa kutenganisha na kudhibiti sauti ya alarm tofauti na media au ringtone."
Before iOS 27 ilikuwa kama mchana ulipunguza sauti ya simu kwa kutumia vidude vya pembeni ili usisumbue watu ofisini, hukujua kuwa umepunguza na sauti ya alarm.
Ukifika usiku unalala ukiamini alarm uliyo set ipo sawa, kumbe ipo kimya kama bismini.
Matokeo yake unakuja kushtuka asubuhi tayari umechelewa kazini au umepishana na mchongo wa maana.
Kwa hiyo umeuziwa u-smooth kwa mamilioni?Nimetoka Samsung na sasa nipo Iphone, natumia 14 pro max.
Moja ya upuuzi wa iphone ni Multi_tasking, simu huwezi kurun apps mbili smoothly kwa wakati mmoja.
Ina apps chache sana ukicompare na android ila apps zao zipo smooth sana, IOS iko stable sana na inarun smooth.
Nafikiria hivi karibuni kwenda s24 ultra au Fold 6.
Kwa kurekod video na kupiga picha, jamaa wako vizuri aseee.
Mkuu, sio mbaya kubadili ili kupata experience tofauti. Kutoa 1.5m kununua simu sio mbaya, nikirudi tena Samsung hii nitaweka line yangu ya Airtel.Kwa hiyo umeuziwa u-smooth kwa mamilioni?
Na bado unasema CCM ni wezi?
Shukrani mkuuKwasasa watu waachane na hizi simu mpya kwa miaka ya karibuni hazina mabadiliko makubwa, kwa wapenzi wa Samsung aishie S24 ultra, kwa wapenzi wa Iphone waishie 15 pro max
Haya sasa wadada wa Mujini muda wa kuumia umekaribiaKampuni ya apple imeamua kuja na iphone 18 promax.
iPhonee 18 Pro Maxx ndiyo simu ya kisasa zaidi ya Apple, naam ya kisasa haswa inayotarajiwa kutangazwa rasmi kwenye Apple Event mnamo Tarehe 8 au 9 Septemba, 2026, na kuanza kuuzwa madukani katikati au mwishoni mwa mwezi huo wa Septemba hatariiii.
Lakini pia inasemekana wanakuja na iphone ultra/fold. Hii itakuwa tofauti na ya samsung kidogo. Mvute subra kwa wale wapenzi wa iphone na simu kiujumla.
View attachment 3648587View attachment 3648588View attachment 3648589