iPhone 18 Pro Max na Ultra Yaja! Kaa tayari kwa Sept 9

Tofauti kutumia kitu kutokana na kazi, mahaba, ushamba na kiwango cha fedha.

Kuna mtu anatumia android kwa sababu kazi zake zinahitaji mambo mengi kama kuhamisha documents, content creators.

Mwingine n kwa mahaba tuu,, kwamba mm napenda ios au android tuu.

Mwingine n ule ushamba wa kuendana na wakati, ukimuuliza kwanini unatumia ios atakuambia kwa sababu za usalama, ukiangalia kazi yake n kurusha makalio tik tok tuu, apps zilizopo ni hizi hizi ambazo hata mwenye tecno anazo.

Mwngine ndo huyo mwenye pesa, android pia inataka uwe na pesa kumiliki mashine nzuri.
Upo sahihi leo umeongea point sana huko ulipo usiache kwenda kila siku
 
nataka kusema hivi tutafute hela huwa hazitoshi na hazijai,ukitaka kupata vizuri vizuri na furaha ya maisha ni uwe na pesa tu,

Mimi natumia ndiyo na sijawahi penda kurudi kwenye android, natambua simu zipo nyingi nzuri ila hapana aisehh iphone ni simu kamili safi kabisa pia inauzika chapu kunadilisha ni jambo jepesi kama nadanganya uliza watu wakuambie
Sawa kesho asbh sana nitaenda kuwauliza😎

Barikiwa.
 
Tofauti kutumia kitu kutokana na kazi, mahaba, ushamba na kiwango cha fedha.

Kuna mtu anatumia android kwa sababu kazi zake zinahitaji mambo mengi kama kuhamisha documents, content creators.

Mwingine n kwa mahaba tuu,, kwamba mm napenda ios au android tuu.

Mwingine n ule ushamba wa kuendana na wakati, ukimuuliza kwanini unatumia ios atakuambia kwa sababu za usalama, ukiangalia kazi yake n kurusha makalio tik tok tuu, apps zilizopo ni hizi hizi ambazo hata mwenye tecno anazo.

Mwngine ndo huyo mwenye pesa, android pia inataka uwe na pesa kumiliki mashine nzuri.
Umeongea kwa uchungu sana!

Hili nalo walitizame🤔
 
Back
Top Bottom