Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 36,315
- 104,500
Hana pa kula ananyimwa commission asipouza beseni hata moja!π€£πππππππ huwa ananyimwa chakula ubaba kazi nyie
Hana pa kula ananyimwa commission asipouza beseni hata moja!π€£πππππππ huwa ananyimwa chakula ubaba kazi nyie
Vichwa maji hawawezi kuelewa πHizo pumba unaita dhahabuπ€
Utatubi au sio πLeo utatubiπ€
Ngβombe mzee weweπVichwa maji hawawezi kuelewa π
Lablaπ€£Utatubi au sio π
Madeni ya kupewa furaha ya mwili? πNilikuja kukudai madeni uliyokopa asaπ
Nyoko ya nyokwe πBabe ya nyokoπ€£
ππππ amekuita akakupe kianzio usibabaikeHizo pumba unaita dhahabuπ€
ππππππ dahTapeli huyo boya, amenitaleli beseni langu nilimkopesha Fala Huyu
Ila kununua iPhone kila mwaka ni upumbavu aisee.Ndio π
Haya sasa wadada wa Mujini muda wa kuumia umekaribia
Muda wa wadada na vijana kufilimbwa unakalibia sasa
Sahihi mkuu, nilitaka kuvuta s24 ultra ila mtu akaniambia kuchukua 14 pro max, hatimae nikaichukua. Aisee jamaa wapo vizuri sema tu upande wa multitasking ndo wamefeli kwa sehemu. Pia apps ni chache sana ukicompare na Android.Awali nilikua nazichukua sana simu za iphone na kuwaona watu wanaozishobokea kama hamnazo,ila banah nilipoanza kuitumia aiseh zina mvuto wa kipekee ,umasikini ni mbaya kila kitu utakosoa na kuchukia chanzo ni uhaba wa fedha