Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 36,315
- 104,500
Kwahiyo hadi lile chokoraa lako linanizidi😎Binti kilaza hiyo sijapata kuona jf, n bc tuu namsitiri 😎
Kwahiyo hadi lile chokoraa lako linanizidi😎Binti kilaza hiyo sijapata kuona jf, n bc tuu namsitiri 😎
Unaonekana hii hali unaifahamu vzr sana, maana sio kwa kuigongelea misumari hivi, tell us more 🤔Mikungu bado haijarudi kwenye hali yake, tayar inakwenda kutoneshwa kidonda 😂
Oohh hapo sawaAnamaanisha bloatwares, Iphone inatoka na apps chache ukilinganisha na simu nyingi za android mbali na pixel. Simu za android unakuta keyboard app 2, app za message 2, na matakataka mengine kibao
Nakusaidia kukutafutia mtu atakayekupa hy simu 😎Unaonekana hii hali unaifahamu vzr sana, maana sio kwa kuigongelea misumari hivi, tell us more 🤔
Pisi kali yule, n basi tuu hajajua vile alikuwa na bahati kunipata 😎Kwahiyo hadi lile chokoraa lako linanizidi😎
Sijakupinga na sijapinga kama hizo simu za bei hazipo lahasha ,niambie ukweli wewe pia utakua shahidi,hakika najua uliangalia worldcup uliona mashabiki wengi wanatumia simu gani?be honest mkuu wengi walikua wameshika simu za iphone huo ndiyo ukweli,angalia movie nyingi actor wanatumia simu gani?Si kweli mkuu, kwasasa kuna simu nyingi bei ghali kuliko hata Iphone, kaangalie bei ya vivo x300 ultra na Oppo find x9 pro bei zake mkasi kinoma ndio maana bongo huzioni ovyo
Hizo mashine ukiona bongo ujue mshkaji ni tech enthusiast kweli kweli
Tofauti na raha ya dyudyu, kuna raha nyngn wataka?Kwenye raha tu kijana shida peleka kwingine 😎
Labla kama ananioa kama zawadi sitatutiliwi kiungo chochote! Au utanisaidia😎Nakusaidia kukutafutia mtu atakayekupa hy simu 😎
Ana upisi kali gani? Au basi😎Pisi kali yule, n basi tuu hajajua vile alikuwa na bahati kunipata 😎
Mkuu unasahau Iphone ni ya mmarekani? 😂 Unadhani WC ingefanyika S Korea ni simu gani ingeonekana kwa wingi viwanjani?Sijakupinga na sijapinga kama hizo simu za bei hazipo lahasha ,niambie ukweli wewe pia utakua shahidi,hakika najua uliangalia worldcup uliona mashabiki wengi wanatumia simu gani?be honest mkuu wengi walikua wameshika simu za iphone huo ndiyo ukweli,angalia movie nyingi actor wanatumia simu gani?
Pesa inanipa raha zaidi💃🏽Tofauti na raha ya dyudyu, kuna raha nyngn wataka?
Unataka kusemaje 😁😁😁 watu wanaangalia wapi tech imeadvanced ndipo hukimbilia lakin bado wapo na iphone majorityMkuu unasahau Iphone ni ya mmarekani? 😂 Unadhani WC ingefanyika S Korea ni simu gani ingeonekana kwa wingi viwanjani?
Miaka mitano 7 au 8 iliopita kweli kulikuwa kuna utofauti mkubwa baina ya kampuni na kampuni, kwasasa tech imeshapeak wanauzia majina
Kwasasa huoni huo utofauti tena ukishika simu zinazokimbiza duniani kinachobaki ni preference
Ila Mkuu mbona huwa nakuheshimu sana tu....Sasa hii ni nini Aki?Sijakupinga na sijapinga kama hizo simu za bei hazipo lahasha ,niambie ukweli wewe pia utakua shahidi,hakika najua uliangalia worldcup uliona mashabiki wengi wanatumia simu gani?be honest mkuu wengi walikua wameshika simu za iphone huo ndiyo ukweli,angalia movie nyingi actor wanatumia simu gani?
Ukizungumzia status ni Iphone, ukizungumzia tech ni android. Tbh katika watumiaji wengi wa Iphone niliowahi kutana nao, haifiki hata asilimia 2 wenye uelewa kuhusu tech wengi ni mkumboUnataka kusemaje 😁😁😁 watu wanaangalia wapi tech imeadvanced ndipo hukimbilia lakin bado wapo na iphone majority
Nataka kumnunulia mdogo wangu Iphone 12 pro max, itamfaa?Nyapu na mikungu ipo rehani kwa mara nyingine
Yani huyu zumbukuku ndio akushauri kuhusu simu ya ndogo wako au chupa Limeamka na chai?Nataka kumnunulia mdogo wangu Iphone 12 pro max, itamfaa?
Natambua zipo simu bei kuzidi iphone na zenye ubora pia ila bado iphone haijakua na mshindani wa kudumu kwenye masoko,Ila Mkuu mbona huwa nakuheshimu sana tu....Sasa hii ni nini Aki?
Nimejaribu kusoma hoja zako kwenye huu uzi juu ya hicho kifaa chako cha mawasiliano sikuelewi...
Kwamba ni rahisi kuuzika ni sawa..ukaona haitoshu umeona ulete mashabiki wa WC sijui ma Actor wanatumia hiyo simu😁
Mkuu!! Una uelewa wa kuwa kuna simu zinauzwa gharama kuliko iPhone?
Sio mkumbo ni self esteem huwezi ukanunua kitu bei na hukose recognition kataka jamii hakuna anaenunua kitu asitake kuvuta attention kwa watu hilo utakua unanipngopea,lakini wapo wanaonunua simu kulingana na tech iliyokua invested kwenye hiyo bidhaa lakini mostly watu wanataka recognition ingekua sio hivyo watu wasingetumia hela nyingi kwaajili ya tecknoloj bali wanataka kuvuta macho ya watu na kutambulikaUkizungumzia status ni Iphone, ukizungumzia tech ni android. Tbh katika watumiaji wengi wa Iphone niliowahi kutana nao, haifiki hata asilimia 2 wenye uelewa kuhusu tech wengi ni mkumbo
Watumiaji wengi wa iPhone ni wafata Mkumbo tu....Natambua zipo simu bei kuzidi iphone na zenye ubora pia ila bado iphone haijakua na mshindani wa kudumu kwenye masoko,
Ni kama useme Mess ni bora kuliko wachezaji wote lakini wapo ambao wana uwezo ila sio wa kumfikia Mess sasa Mess hapo ni Iphone sio ni ulimbukeni hapana iphone imejiboresha sana