iPhone 18 Pro Max na Ultra Yaja! Kaa tayari kwa Sept 9

App nyingi za ios zimenyoka mkuu hazina ma adds ya kijinga zikiwepo ni kidogo tu hawa jamaa wametulia sana,picha ndiyo usiseme nachopenda zaidi iphone ni kama dhahabu ni rahisi kuibadili kwenda pesa yani ni dakika tu unaweza iuza pasipo usumbufu naukitaka kupanda toleo la juu yake ni rahisi maana uhakika nikuongezea tu pesa
Kweli mkuu android kuna takataka za kila aina, ios mchujo ni mkali sana..hata app hiyo hiyo iliyopo ios inakuwa na utofauti na ya android!
 
Unajua mkuu na ni kweli,sio ubabaifu IOS ni advanced watu wanaukata ukweli,kuanzia ringtone,usmoth,muonekano,picha,sauti,app zake kila kitu kimenyoka, wengi wanaonunua iphone sio matajiri lakini amejichanga ameshajua uzuri wa bidhaa
 
Sasa Ice iPhone inauzwa bei gani kwamba watu washindwe kununua?

Au unazungumzia iphone ipi kwanza?
 
Kwamba Instagram ya ios na android ni tofauti?
Kwenye hili utoafuti kweli upo. Android ni mfumo ambao una matoleo zaidi ya 1000 ya simu inakuwa ngumu kwa developer kuyafanyia majaribio kwa ufahasa tofauti na IOS yenye matoleo ya Iphone machache. Lakini kuhusu smoothness sio kweli inategemeana na bajeti yako, bahati mbaya zaidi watu wa IOS ni watu wamkumbo basi wamekaririshwa kuhusu smoothness...

Hakuna utofauti wa app kwenye flagship models, yani mtu anayetumia Insta kwenye Iphone na Samsung S series wanapata experience ile ile
 
Yani huyu zumbukuku ndio akushauri kuhusu simu ya ndogo wako au chupa Limeamka na chai?
Ujue kijijini kwetu hapa Arusha Arumeru naheshimika Sana, ningekuwa na umri mkubwa ningepewa uenyekiti, mm n mfano wa kuigwa hapa uldjenyesombo kwetu
 
Kwenye hili utoafuti kweli upo. Android ni mfumo ambao una matoleo zaidi ya 1000 ya simu inakuwa ngumu kwa developer kuyafanyia majaribio kwa ufahasa tofauti na IOS yenye matoleo ya Iphone machache. Lakini kuhusu smoothness sio kweli inategemeana na bajeti yako, bahati mbaya zaidi watu wa IOS ni watu wamkumbo basi wamekaririshwa kuhusu smoothness...

Hakuna utofauti wa app kwenye flagship models, yani mtu anayetumia Insta kwenye Iphone na Samsung S series wanapata experience ile ile
Sisi tunaotumia Insta kwenye samsung A series kuna vitu tunavikosa?
 
Back
Top Bottom