iphone 4 na 4s sokon

iphone 4 na 4s sokon

elmagnifico

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2011
Posts
8,261
Reaction score
9,733
kuna simu 2 za zote used kwa miezi miwili iphone 4 na 4s sokon
Iphone 4 kwa lak 7 na iphone 4s laki 8.5. Kwa aliye tayari ani pm.
 
kuna simu 2 za zote used kwa miezi miwili iphone 4 na 4s sokon
Iphone 4 kwa lak 7 na iphone 4s laki 8.5. Kwa aliye tayari ani pm.

Umeingiaje humu? Nenda kaweke kwenye jukwaa husika,hapa ni kwaajili ya magonjwa mkuu.
 
Sijaielewa hii thread tafadhari mod ihamishe ipeleke mahari pake
 
kweli wewe ni elmagnifico...mweeeh!! hili ni jukwaa la afya mkuu
 
maisha magumu sana Tanzania, hakuna mwelekeo watu wanakurupuka na kila aina ya maneno.....
 
Back
Top Bottom