iphone se 2
Member
- May 25, 2018
- 72
- 59
Hizi bado ni tetesi tu hakuna aliyeconfirm ingawa rumors mara nyingine huwa ni kweli, uwezekano wa iPhone 5s kupata iOS ni mkubwa kwa sababu watu wengi wanatabiri kuwa iOS 12 haitaleta features nyingi bali kutakuwa na maboresho ambayo yameshindwa kuifanya iOS 11 iwe bora ukilinganisha Na iOS 10 hasa kwa upande wa stability na performance na pengine kuboreshwa kwa siri AI ambayo imekuwa ikitetereka nyuma ya Google AI na Amazon Echokatika pitapita zangu nikashangaa kusikia iphone 5s inapata toleo jipya la ios 12 je kuna ukweli au uongo simu ya mwaka 2013 mpaka leo inapata updates kweli ?
iOS 12 will continue supporting iPhone 5S, WebKit developer reports suggest
kama itapata basi apple wanatisha sana je android simu ya 2013 zinapata updatesHizi bado ni tetesi tu hakuna aliyeconfirm ingawa rumors mara nyingine huwa ni kweli, uwezekano wa iPhone 5s kupata iOS ni mkubwa kwa sababu watu wengi wanatabiri kuwa iOS 12 haitaleta features nyingi bali kutakuwa na maboresho ambayo yameshindwa kuifanya iOS 11 iwe bora ukilinganisha Na iOS 10 hasa kwa upande wa stability na performance na pengine kuboreshwa kwa siri AI ambayo imekuwa ikitetereka nyuma ya Google AI na Amazon Echo
Kwa upande mwingine kuna uwezekano mkubwa wa iPhone 5s kuachwa Na iOS 11 kwa jinsi Apple ambavyo wamekuwa wakitoa matoleo madogo madogo kwa mfululizo katika kipindi kifupi ili kuifanya iOS 11 kuwa stable kama iOS 10 kwa ajili ya devices zitakazoachwa na iOS 11 iwapo Apple wana mpango wa kuongeza features nyingi kwenye iOS 12
But all in all tusubiri hapo June 4 WWDC itakapoanza tutajua mengi na kuachana na rumors
The sheer back catalogue of support is truly one of iOS strong points. Android cannot compare in this departmentkama itapata basi apple wanatisha sana je android simu ya 2013 zinapata updates
Yes inapata maana ina 64 bits processor, zilizopigwa chini hata 11 hazikupata ni kuanzia 5c kurudi chini maana zina 32 bits processor.
So 5 bado iko kwenye game kwa muda wa mwaka huu huenda mpaka mwakan pia
endelea kuijonyi tunda mkuu, usitupeina maana mwenye iphone 5s anapata utamu kama wengine tu hadi raha kwa kweli
Simu zenye kusupport iOS 12
- iPhone 5S, 6, 6 Plus, 6S, 6S Plus, SE, 7, 7 Plus, 8, 8 Plus and iPhone X
- iPad Air, Air 2 and 5th-gen iPad
- iPad Mini 2, 3, and 4
- All iPad Pros
- 6th-gen iPod Touch
Hazipo kwa mpangilio Kaka.Mkuu naomba kujuzwa hapa kwenye mpangilio wako wa hizi simu.
Ina maana SE ni bora kuliko 6 series au haujapanga kwa mtiririko wa ubora/uthamani wake?
jibu ni ndio iphone se ni bora zaidi ya iphone 6 iphone se mwenzake ni iphone 6sMkuu naomba kujuzwa hapa kwenye mpangilio wako wa hizi simu.
Ina maana SE ni bora kuliko 6 series au haujapanga kwa mtiririko wa ubora/uthamani wake?
Mkuu inaweza kuwa zinaringana au SE ni bora kwanza ina processor kubwa wakati ina display ndogo, processor yake ni sawa na 6s na ina dsplay ya retinaMkuu naomba kujuzwa hapa kwenye mpangilio wako wa hizi simu.
Ina maana SE ni bora kuliko 6 series au haujapanga kwa mtiririko wa ubora/uthamani wake?
kama itapata basi apple wanatisha sana je android simu ya 2013 zinapata updates
mambo ya kuweka custom rom si wote tunajua hongera appleAndroid achana nayo mkuu,update ukinyimwa na OEM bas lineage na wenzie wanakupa..samsung s2 sim ya 2011 inakula oreo via lineage os
Daah aisee, hii simu naivhukuliaga poa sana,Mkuu inaweza kuwa zinaringana au SE ni bora kwanza ina processor kubwa wakati ina display ndogo, processor yake ni sawa na 6s na ina dsplay ya retina
Ios mpya inachukua muda kuijail break hivyo usi update mpaka wazee wa taig watoeHiyo iOS 12 inaweza kuwa jailbreakable? ... Maana sie wengine bila jailbreak hatusikii raha