Hizi bado ni tetesi tu hakuna aliyeconfirm ingawa rumors mara nyingine huwa ni kweli, uwezekano wa iPhone 5s kupata iOS ni mkubwa kwa sababu watu wengi wanatabiri kuwa iOS 12 haitaleta features nyingi bali kutakuwa na maboresho ambayo yameshindwa kuifanya iOS 11 iwe bora ukilinganisha Na iOS 10 hasa kwa upande wa stability na performance na pengine kuboreshwa kwa siri AI ambayo imekuwa ikitetereka nyuma ya Google AI na Amazon Echo
Kwa upande mwingine kuna uwezekano mkubwa wa iPhone 5s kuachwa Na iOS 11 kwa jinsi Apple ambavyo wamekuwa wakitoa matoleo madogo madogo kwa mfululizo katika kipindi kifupi ili kuifanya iOS 11 kuwa stable kama iOS 10 kwa ajili ya devices zitakazoachwa na iOS 11 iwapo Apple wana mpango wa kuongeza features nyingi kwenye iOS 12
But all in all tusubiri hapo June 4 WWDC itakapoanza tutajua mengi na kuachana na rumors