mtafuta-maisha
JF-Expert Member
- Nov 5, 2016
- 1,982
- 2,931
Hiyo siyo kila mtu anaweza fanya lakini ku update simu za iphone ambazo hawaja zitosa ni rahisi.Android achana nayo mkuu,update ukinyimwa na OEM bas lineage na wenzie wanakupa..samsung s2 sim ya 2011 inakula oreo via lineage os
This is only for geeks, how about the rest!?Android achana nayo mkuu,update ukinyimwa na OEM bas lineage na wenzie wanakupa..samsung s2 sim ya 2011 inakula oreo via lineage os
This is only for geeks, how about the rest!?
katika pitapita zangu nikashangaa kusikia iphone 5s inapata toleo jipya la ios 12 je kuna ukweli au uongo simu ya mwaka 2013 mpaka leo inapata updates kweli ?
iOS 12 will continue supporting iPhone 5S, WebKit developer reports suggest
katika pitapita zangu nikashangaa kusikia iphone 5s inapata toleo jipya la ios 12 je kuna ukweli au uongo simu ya mwaka 2013 mpaka leo inapata updates kweli ?
iOS 12 will continue supporting iPhone 5S, WebKit developer reports suggest
nilijaribu kuangalia hata google pixel zinapata updates kama mara mbili hivi na zinawahi sababu hazina maboresho yoyote tofauti na sumsungUkiongelea smartphone unaongelea Iphone, hizi nyingine tunazitumia tu basi tu, Iphone zinapewa care mpaka zinapitiliza ndo maana bei zake zinakuwa juu hata kama ni used kwa sababu thamani inabaki kwa mda mrefu. Mteja wa 5s ya mwaka 2013 atahitaji wifi tu na kwenda settings na kubonyeza update mengine inamaliza yenyewe, Baada ya hapo mtu anaona simu yake imekuwa mpya tena.
hahahaWapi tecno....wenyewe kila baada ya wiki wanatoleo jipya la simu na sio kupdate system
View attachment 871632
Wadau bado hamjaingia iOs 12?!
Mm nipo huko tayari toka juzi usiku
Hii ni moja ya features zilizonivuti..screen time
The rest has friends who are tecno geeksThis is only for geeks, how about the rest!?
The rest has friends who are tecno geeks