Tetesi: Iphone 5s gets ios 12

Tetesi: Iphone 5s gets ios 12

Android achana nayo mkuu,update ukinyimwa na OEM bas lineage na wenzie wanakupa..samsung s2 sim ya 2011 inakula oreo via lineage os
Hiyo siyo kila mtu anaweza fanya lakini ku update simu za iphone ambazo hawaja zitosa ni rahisi.
Support ya apple ni bomba sana
 
This is only for geeks, how about the rest!?
katika pitapita zangu nikashangaa kusikia iphone 5s inapata toleo jipya la ios 12 je kuna ukweli au uongo simu ya mwaka 2013 mpaka leo inapata updates kweli ?
iOS 12 will continue supporting iPhone 5S, WebKit developer reports suggest

Ukiongelea smartphone unaongelea Iphone, hizi nyingine tunazitumia tu basi tu, Iphone zinapewa care mpaka zinapitiliza ndo maana bei zake zinakuwa juu hata kama ni used kwa sababu thamani inabaki kwa mda mrefu. Mteja wa 5s ya mwaka 2013 atahitaji wifi tu na kwenda settings na kubonyeza update mengine inamaliza yenyewe, Baada ya hapo mtu anaona simu yake imekuwa mpya tena.
 
nilijaribu kuangalia hata google pixel zinapata updates kama mara mbili hivi na zinawahi sababu hazina maboresho yoyote tofauti na sumsung
 
IMG_5556.JPG

Wadau bado hamjaingia iOs 12?!

Mm nipo huko tayari toka juzi usiku

Hii ni moja ya features zilizonivuti..screen time
 
View attachment 871632

Wadau bado hamjaingia iOs 12?!

Mm nipo huko tayari toka juzi usiku

Hii ni moja ya features zilizonivuti..screen time

Duuh mkuu unashinda JF [emoji41] , hii feature inanoga zaidi kama una monitor matumizi ya simu ya mwanao, mkeo au wale unaowapenda na usingependa watumie mda mwingi kwenye manbo yasiyo ya msingi..
 
Back
Top Bottom