Waterloo JF-Expert Member Joined Nov 30, 2010 Posts 25,356 Reaction score 38,922 Oct 31, 2021 #21 black chinese said: Miaka miwili nyuma hizi simu zilikuwa adimu sana kuzishika.. siku hizi bei imeporomoka, wengi wamezikimbilia kisha wakaziona za kawaida kama samsung tu, ndo maana wanarudi kwenye laini 2 walizozoea Click to expand... Mkuu wewe mtoto wa mfalme wa uarabuni umekutana nae wapi mpaka ukaipata hiyo simu yake?
black chinese said: Miaka miwili nyuma hizi simu zilikuwa adimu sana kuzishika.. siku hizi bei imeporomoka, wengi wamezikimbilia kisha wakaziona za kawaida kama samsung tu, ndo maana wanarudi kwenye laini 2 walizozoea Click to expand... Mkuu wewe mtoto wa mfalme wa uarabuni umekutana nae wapi mpaka ukaipata hiyo simu yake?