Waterloo
JF-Expert Member
- Nov 30, 2010
- 25,356
- 38,922
Mkuu wewe mtoto wa mfalme wa uarabuni umekutana nae wapi mpaka ukaipata hiyo simu yake?Miaka miwili nyuma hizi simu zilikuwa adimu sana kuzishika.. siku hizi bei imeporomoka, wengi wamezikimbilia kisha wakaziona za kawaida kama samsung tu, ndo maana wanarudi kwenye laini 2 walizozoea