Super Villain
JF-Expert Member
- Jan 2, 2019
- 9,391
- 21,045
Siku kama ya leo (January 9) mwaka 2007, aliyekuwa CEO wa kampuni ya Apple marehemu Steve Jobs aliitambulisha simu ya kwanza aina ya iPhone (1st Generation)
Wazo la simu hiyo lilimjia Steve mwaka 2005 na ilimchukua miaka 2 kulikamilisha wazo hilo. Simu hiyo iliingia sokoni rasmi June 29, 2007 na kuuzwa ($499) kwa yenye muundo wa 4G na ($599) kwa yenye muundo wa 8G na zote zilikuwa na mkataba wa miaka 2.
Maelfu ya watu walikusanyika kwenye maduka ya Apple na AT&T siku moja kabla. Askari wenye silaha walichukuliwa kwa ajili ya kulinda usalama wa maduka hayo.View attachment 1317432
[emoji38][emoji38][emoji38] mzee hao watu ss sio level zetu vitu vzr vyote wanaanza kutumia wao ndio tufuate ss.
Kikubwa mawasiliano tu nasio wanao tumia Tecno wote ni masikini au hawana hela ya kununua iPhone kilamtu anachaguo lake.
Kuna mizigo ipo store kwao inakuja sio mchezo. Jamaa wana series nyingi sana kuna nyingine hata bongo hazijaja.Na miaka 13 mpaka leo hawajabadilisha chochote revolutionary....iPhone saivi inaenda kupotea
Acha uongo.Kuna mizigo ipo store kwao inakuja sio mchezo. Jamaa wana series nyingi sana kuna nyingine hata bongo hazijaja.
OKKikubwa mawasiliano tu nasio wanao tumia Tecno wote ni masikini au hawana hela ya kununua iPhone kilamtu anachaguo lake.
πππ ninze kukutajia sasa series ambazo bongo hazikuja ama uwongo gani?Acha uongo.
[emoji38][emoji38][emoji38] ninze kukutajia sasa series ambazo bongo hazikuja ama uwongo gani?
SE, 5c hata hizi latest za double dual sim hakuna bongo.Nitajie latest hapa usinitajie za 2003
5c nishamilikiSE, 5c hata hizi latest za double dual sim hakuna bongo.
Hiyo SE unaijua? ulishawahi kuona hata baadhi ya maduka wanauza hata? Na iPhone za line mbili?5c nishamiliki
Hiyo SE unaijua? ulishawahi kuona hata baadhi ya maduka wanauza hata? Na iPhone za line mbili?
5c nishamiliki
Halafu ishu sio hyo ukiichek iyo SE ni kama 5 tu
Ishu ni kuwa iPhone zinafanana Sana halafu hamna kitu revolutionary wamefanya kama walivofanya Kwenye iPhone first generation...walichobakiza tu ni kukopi saivi Samsung,oppo,n.k
ππππ ww ulishawahi kuiyona?Hivi iphone yenye 8G iloshawahi kuwepo kumbe!?
Cα΅Κ³α΅α΅α΅ βββ α΄Έα΅α΅α΅βΏD
Mkuu nlikuwa nakuheshimu sanaHivi iphone yenye 8G ilishawahi kuwepo kumbe!?
Cα΅Κ³α΅α΅α΅ βββ α΄Έα΅α΅α΅βΏD