Super Villain
JF-Expert Member
- Jan 2, 2019
- 9,391
- 21,045
Siku kama ya leo (January 9) mwaka 2007, aliyekuwa CEO wa kampuni ya Apple marehemu Steve Jobs aliitambulisha simu ya kwanza aina ya iPhone (1st Generation)
Wazo la simu hiyo lilimjia Steve mwaka 2005 na ilimchukua miaka 2 kulikamilisha wazo hilo. Simu hiyo iliingia sokoni rasmi June 29, 2007 na kuuzwa ($499) kwa yenye muundo wa 4G na ($599) kwa yenye muundo wa 8G na zote zilikuwa na mkataba wa miaka 2.
Maelfu ya watu walikusanyika kwenye maduka ya Apple na AT&T siku moja kabla. Askari wenye silaha walichukuliwa kwa ajili ya kulinda usalama wa maduka hayo.