Teknolojia ni Yetu sote
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 1,386
- 2,833
Baadhi ya watumiaji wa iPhone Duo wameripoti matatizo ya skrini ya ndani kupasuka, huku kukiwa na wasiwasi kuhusu eneo la bawaba (hinge) linalosaidia simu kukunjika. ๐๐ฑ
Dalili zilizoripotiwa ni pamoja na:
๐ฅ Skrini kupata mistari ya mwanga mweupe.
โ ๏ธ Mistari ya pikseli kuharibika karibu na sehemu simu inapokunjika.
๐ฑ Baadhi ya vifaa kuripotiwa kupata tatizo hilo ndani ya saa chache baada ya kununuliwa.
Cha kushangaza, matengenezo ya skrini yanaweza kugharimu hadi $999 nje ya udhamini! ๐ธ Hata hivyo, chanzo halisi cha tatizo bado hakija
Thibitishwa kikamilifu.
Kwa Pesa ya kitanzania ni zaidi ya Tanzania shilingi Milioni 2,642,358.00/=.
๐ค Wewe, unaweza kununua simu ya bei kubwa yenye changamoto kama hii, au utasubiri kwanza?