๐Ÿšจ ๐—ถ๐—ฃ๐—ต๐—ผ๐—ป๐—ฒ ๐——๐˜‚๐—ผ ๐—ฌ๐—ฎ๐˜๐—ถ๐—ธ๐—ถ๐˜€๐—ฎ ๐— ๐—ถ๐˜๐—ฎ๐—ป๐—ฑ๐—ฎ๐—ผ! ๐—ฆ๐—ธ๐—ฟ๐—ถ๐—ป๐—ถ ๐—ญ๐—ฎ๐—ฎ๐—ป๐˜‡๐—ฎ ๐—ž๐˜‚๐—ฝ๐—ฎ๐˜€๐˜‚๐—ธ๐—ฎ, ๐—ง๐—ฎ๐˜๐—ถ๐˜‡๐—ผ ๐—ก๐—ถ ๐—ก๐—ถ๐—ป๐—ถ? ๐Ÿ˜ณ๐Ÿ“ฑ

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2020
Posts
1,386
Reaction score
2,833


Baadhi ya watumiaji wa iPhone Duo wameripoti matatizo ya skrini ya ndani kupasuka, huku kukiwa na wasiwasi kuhusu eneo la bawaba (hinge) linalosaidia simu kukunjika. ๐Ÿ”๐Ÿ“ฑ




Dalili zilizoripotiwa ni pamoja na:
๐Ÿ’ฅ Skrini kupata mistari ya mwanga mweupe.
โš ๏ธ Mistari ya pikseli kuharibika karibu na sehemu simu inapokunjika.
๐Ÿ˜ฑ Baadhi ya vifaa kuripotiwa kupata tatizo hilo ndani ya saa chache baada ya kununuliwa.



Cha kushangaza, matengenezo ya skrini yanaweza kugharimu hadi $999 nje ya udhamini! ๐Ÿ’ธ Hata hivyo, chanzo halisi cha tatizo bado hakija
Thibitishwa kikamilifu.

Kwa Pesa ya kitanzania ni zaidi ya Tanzania shilingi Milioni 2,642,358.00/=.

๐Ÿค” Wewe, unaweza kununua simu ya bei kubwa yenye changamoto kama hii, au utasubiri kwanza?
 

Attachments

  • 3_20261026_211159_0002.png
    1.3 MB · Views: 5
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ simu milion kumi kioo laki mbili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ