Iphone effect: Xiaomi Mi11 itauzwa bila charger.

mjasiliaupeo

JF-Expert Member
Joined
Apr 21, 2013
Posts
2,162
Reaction score
3,088
Xiomi imeingiza sokoni simu yao mpya ya Mi11 sokoni. Kama iphone 12 na wao hawatauza sambamba na charger kwa kigezo cha kutunza mazingira na kusaidia kupunguza taka plastiki duniani.

Sababu hii pia ndio walitumia apple inc kutuuzia simu bila charger na ikaleta mijadala mikubwa humu.

Wote twaelekea kupigwa spana na haya magereza ya kifahari
LogoMakr_9JlRZS-300x300.png
 
Xiomi imeingiza sokoni simu yao mpya ya Mi11 sokoni. Kama iphone 12 na wao hawatauza sambamba na charger kwa kigezo cha kutunza mazingira na kusaidia kupunguza taka plastiki duniani.

Sababu hii pia ndio walitumia apple inc kutuuzia simu bila charger na ikaleta mijadala mikubwa humu.

Samahani sijaelewa, simu bila charger, chaji take haiishi??

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Hii kwny management a/c inaangukia kwny cost cutting measures

Hakuna cha ku-save dunia kutokana na taka za plastiki wala nini.

Ukisoma hiyo article, utaona wameandika kwamba wao Xiomi wata ship charger separately, ukiopt in for charger unapewa separately (Hawajasema kama ni free lakini).
 
Hio sasa wameifanya kama features za kwny magari,ukitaka full options utalipia zaidi kuliko asiyetaka mambo hayo.

Angalau kwenye gari features zinazoachwa hazikuzuii kulitumia. Charger kwenye simu haina option, which means unatakiwa kuinunua, labda uwe unayo tayari.

Na wengi wetu tunaamini charger ya kununua na simu ndiyo original, hizi zingine unakuta hata compatibility ni issue.
 
Ngoja tuone... Wanapunguza gharama za uzalishaji, Covid19 imeleta changamoto sana...

Cc: mahondaw
 
Charger utumie ile uliyokuwa unatumia zamani kabla hujanunua simu mpya
Hilo kampuni limekosa washauri?

So kila mtu anayenunia toleo jipya kutoka kwao tafsiri yake ni kwamba awali ya hilo toleo alikua anatumia brand yao?
 
Walianza Iphone naona sasa na wengine wanafuata
 
Xiomi imeingiza sokoni simu yao mpya ya Mi11 sokoni. Kama iphone 12 na wao hawatauza sambamba na charger kwa kigezo cha kutunza mazingira na kusaidia kupunguza taka plastiki duniani.

Sababu hii pia ndio walitumia apple inc kutuuzia simu bila charger na ikaleta mijadala mikubwa humu.

?????????
2020-12-29-12-22-44.jpg
2020-12-29-12-23-23.jpg
 
Angalau kwenye gari features zinazoachwa hazikuzuii kulitumia. Charger kwenye simu haina option, which means unatakiwa kuinunua, labda uwe unayo tayari.

Na wengi wetu tunaamini charger ya kununua na simu ndiyo original, hizi zingine unakuta hata compatibility ni issue.
Charger mpya ni type C to type C, na hizi simu mpya pia zinakuja Na type C to type C cable, Hivyo charger ya zamani Huwezi tumia na Cable yako mpya.

Even charger za kichina China zinaweza cost around 30k mpaka 50k na zile OG Toka manufacture zinazidi laki 1.

4X90Q59480-500.png

Ni mpango tu mengine wa manufactured kujiingizia kipato kwa mgongo wa watumiaji.
 
Back
Top Bottom