pandagichiza
JF-Expert Member
- Jul 9, 2013
- 5,248
- 3,663
Wanaonunua iPhone 12 bila chaja, chaja wanapata wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ShaomiXiaomi hivi inatamkwaje [emoji1]
Kweli[emoji16]Shaomi
mimi napenda kutumia iphone, na nilikuwa napenda Steve Jobs anapoipeleka iPhone, alikuwa anatizama zaidi usability kuliko trends. Iphone ilikuwa ni simu ya kutumia kwa mkono mmoja tu, ila saivi utumie yote miwili. Ila huyu Tim mapishi nimeona ni mtu ambae anataka kufuata trends lakini at the same time anataka kujitofautisha. Alipochukua nafasi yeye, nilijua tu kuwa jamaa ataingia kwenye screen kubwa. Halafu alipoanza kuja na variants of iphones ndio nikashindwa kumuelewa. STeve jobs katuzoesha simu moja kila mwaka, sio tatu mpaka nne kila mwaka.
Alivoleta design ya Notch, walipondwa sana tena, na mpaka Samsung akatoa ad kabisa. Mimi nilibaki nacheka tu, nikijua kwa 100% na wao watafuata tu. Si uongo, wakaja na za kwao, ila sasa mara zinaitwa tear drop instead of notch, mbaya zaidi practicality yake haieleweki. Kwa apple naweza kusema kuwa jamaa wametaka kulazimisha sensors za face id zikae mbele at the same time kupunguza bezels iliwalazimu wa sacrifice hio screen, sasa hawa akina Samsung/xiaomi na wengine wameweka nini wao zaidi ya camera?
Nafikiri i am safe nikisema kuwa Apple anawatia wenzake chaka na kudumaza creativity kwenye smartphones. Sasa ivi nothing is new or interesting kwenye smartphones, all come in same shape different sizes tu. Tunasifiwa benchmarks tu. kila keynote utasikia zinasifiwa internals tu. Zamani ukiflip motorola yako unajiona genius!
Wote watafuata hio trend ya kuuza simu bila charger kwa nyimbo ya kutunza mazingira, at the same time, hizo charge zinatengezwa na kuuzwa separately!
Xiaomi nisimu nzuri Sana kwangu nazipenda lakini ukitaka na charge unaweza kupataKawaida ya watu Apple akifanya jambo atapondwa weeeee..... sasa subiri wengine wafuate... utawasikia wakiimba nyimbo za mazingira kama Apple 😀
Ujinga wanao wote kwenye smartphone industries. Suala la kuwa na small bezels ni jambo general. Kama kusema kuwa na colored display. Na by the way, sikuzungumzia suala la bezels as a trend, nimezungumzia SABABU ya Apple kuweka Notch. Hakuweka kwa sababu tu ya kuwa na front camera, Notch ya iphone ipo kwa sababu chini yake kuna sensors ambazo zinatumika kwenye Face id. Hio ndio sababu ya wao kumega ile display. Sasa wewe unaziita tear drop, au unaweza ukaita ya Samsung jina utakalo, lakini haiwezi kuondoa fact kwamba imekula sehemu ya kioo ambayo ingetumika kuonesha kitu. Kwaio Iphone na hizo samsung zimemega sehemu ya kioo, call it whatever you want, hizo ni marketing tu kuwafanya mu feel better. Sasa ukitizama utaona kuwa Apple kwa vile ametaka kuweka Sensors hapo mbele, ndio amelazimika kuweka hio Notch kwa sababu hana technology ambayo anaweza kuweka sensors under the display ama within the display without affecting the image/video. Lakini unaweka notch au tuite hio tear drop kwa sababu simply ya Camera tu ambayo nikiitiza could have been squeezed hapo kwenye bezels without kumega display?!mkuu mbona kama unamhusisha samsung kwenye ujinga wa wengine!!!
samsung ametoa s8 mwenzi march ikiwa na bezzle ndogo kabisa,iphone x ikaja miezi 7 baadae ikiwa na hilo notch,nani alifata trend ya mwenzie hapa.mbali na hilo baada ya notch la x ndio samsung waliponda,wakatoa tear drop,na eject camera.samsung kama android giant hana simu hata moja yenye notch,labda hao wengine.
kama kawaida ya apple,ataleta hayo miaka 2 mbeleni kutokea sasa,na mtashukuru sana na kuona ni ugunduzi ambao haujawahi kutokea[emoji23][emoji23][emoji23].
Sent using Jamii Forums mobile app
Mleta amejaribu kusema kuwa xiaomi na wao wanato simu bila ya charger, sio kwamba kutakuwa hakuna charger zake, hapana zitakuwepo, ila ukinunua kwenye box hamna, ukanunue au utumie ya zamani, iphone 12 ndio ivo ivo, unaweza kutumia charger za zamani kuichaji na kama huna utaenda kununua dukani, choice is yours, ya tolea jipya au ya zamani, lakini zote zitachaji.Xiaomi nisimu nzuri Sana kwangu nazipenda lakini ukitaka na charge unaweza kupata
yeah hapo ni sawa.Ujinga wanao wote kwenye smartphone industries. Suala la kuwa na small bezels ni jambo general. Kama kusema kuwa na colored display. Na by the way, sikuzungumzia suala la bezels as a trend, nimezungumzia SABABU ya Apple kuweka Notch. Hakuweka kwa sababu tu ya kuwa na front camera, Notch ya iphone ipo kwa sababu chini yake kuna sensors ambazo zinatumika kwenye Face id. Hio ndio sababu ya wao kumega ile display. Sasa wewe unaziita tear drop, au unaweza ukaita ya Samsung jina utakalo, lakini haiwezi kuondoa fact kwamba imekula sehemu ya kioo ambayo ingetumika kuonesha kitu. Kwaio Iphone na hizo samsung zimemega sehemu ya kioo, call it whatever you want, hizo ni marketing tu kuwafanya mu feel better. Sasa ukitizama utaona kuwa Apple kwa vile ametaka kuweka Sensors hapo mbele, ndio amelazimika kuweka hio Notch kwa sababu hana technology ambayo anaweza kuweka sensors under the display ama within the display without affecting the image/video. Lakini unaweka notch au tuite hio tear drop kwa sababu simply ya Camera tu ambayo nikiitiza could have been squeezed hapo kwenye bezels without kumega display?!
Suala la kuja nalo miaka miwili mbele, lisikutie shaka, kama akija nalo na ikawa na face id huku wengine hawana face id, huoni kama itakuwa ugunduzi tayari? Unafikiri Camera ya kawaida kwenye tear drop na camera yenye sensors za face id itakuwa sawa in terms of advancement?
Ukweli sijawahi kuifungua iphone yenye hio notch nikaona mpangilio wa hizo sensor, na itabidi niingie youtube nitafute nione. Kwa vile sijaona ilivo ndani siwezi kutoa maoni kama the notch is too big au right size. All i know ni kwamba watu wali expect itakuwa ndogo kuliko matoleo ya nyuma but imeendelea pale pale, kama vile aidha Apple wamekwama kupata njia ya kuipunguza ama ni unyambi tu wakijua watu watanunua na watasahau kuhusu size yake.yeah hapo ni sawa.
kimsingi hiyo notch ni kipande kikubwa sana kulingana na matumizi,na hata hizo camera za samsung bado ni upuuzi flani,zinazingua maana ni kama doa kwenye kioo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Samahani sijaelewa, simu bila charger, chaji take haiishi??
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Tecno wasifikie huku
Issue kubwa ni compability, Arm ni Risc Haina uwezo wa ku handle complicated things kama cpu za cisc (x86)kitu walichofanya Apple mwaka huu nikakikubali ni kuachia macbook yenye M1 chip. Nimekuwa najiuliza sana kwanini CPU za kwenye simu ni powerful na low power consumption kuliko za kwenye PC/Laptop na hazitumiki kwenye hizi mashine instead tunawekea kashata za intel, mafeni kama yote na bado perfomance inakuwa sio nzuri. Naona Apple sasa wanaanza ku shape upya Laptop/notebook market huku intel akianza kupata homa
Mkuu, naomba ubora wa AMD unaoitofautisha na jamaa zangu IntelIssue kubwa ni compability, Arm ni Risc Haina uwezo wa ku handle complicated things kama cpu za cisc (x86)
Japo siku hizi zinajitahidi ila still zinalag. Mfano encoding/decoding ya video ipo advanced sana kwenye Arm kama x86.
Hata kwenye Rosetta M1 ina perfomance penalty hadi 50%.
Intel na Amd Wana advantage kubwa ya legacy x86 apps. Ambazo mambo yote complicated yanafanyika humo.
Na sasa hivi king wa CPU ni Amd sio Intel, zen 3 (ryzen 5000 series) ni nzuri zaidi kuliko M1 Hali ya kuwa inatumia 7nm manufacturing process, compare na 5nm ya M1.
Na Kuhusu feni cpu nyingi mpya zinaweza kuwa fan less, kote kwa Amd na Intel.
Kwanza Amd hii tunayoizungumzia hapa sio zile ambazo zimezagaa mtaani, ni processor mpya za ryzen.Mkuu, naomba ubora wa AMD unaoitofautisha na jamaa zangu Intel
Charger ni Optional. Yaani unaweza ukapewa na charger au bila charger ila bei ni ile ile.Xiomi imeingiza sokoni simu yao mpya ya Mi11 sokoni. Kama iphone 12 na wao hawatauza sambamba na charger kwa kigezo cha kutunza mazingira na kusaidia kupunguza taka plastiki duniani.
Sababu hii pia ndio walitumia apple inc kutuuzia simu bila charger na ikaleta mijadala mikubwa humu.
![]()
Xiaomi Mi 11 does not ship with charger and cable in the box but that’s alright; here’s why
Xiaomi will not ship the Mi 11 with a charging brick and cable in the original retail box. Xiaomi Mi 11, as expected, does not ship with a charger and cable intechfans.co.uk
ni freeUkisoma hiyo article, utaona wameandika kwamba wao Xiomi wata ship charger separately, ukiopt in for charger unapewa separately (Hawajasema kama ni free lakini).
ni free