mjasiliaupeo
JF-Expert Member
- Apr 21, 2013
- 2,162
- 3,088
Samahani sijaelewa, simu bila charger, chaji take haiishi??Xiomi imeingiza sokoni simu yao mpya ya Mi11 sokoni. Kama iphone 12 na wao hawatauza sambamba na charger kwa kigezo cha kutunza mazingira na kusaidia kupunguza taka plastiki duniani.
Sababu hii pia ndio walitumia apple inc kutuuzia simu bila charger na ikaleta mijadala mikubwa humu.
Xiaomi Mi 11 does not ship with charger and cable in the box but that’s alright; here’s why
Xiaomi will not ship the Mi 11 with a charging brick and cable in the original retail box. Xiaomi Mi 11, as expected, does not ship with a charger and cable intechfans.co.uk
Charger utumie ile uliyokuwa unatumia zamani kabla hujanunua simu mpyaSamahani sijaelewa, simu bila charger, chaji take haiishi??
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Ni aina mpya ya kumkamua mtejaWanatakiwa kuja na wireless charger, siyo kutengeneza simu inayohitaji kuchaji halafu unaiuza bila chaja.
Ili charger uuze kivyake ama?
Ni aina mpya ya kumkamua mteja
Hii kwny management a/c inaangukia kwny cost cutting measuresWanatakiwa kuja na wireless charger, siyo kutengeneza simu inayohitaji kuchaji halafu unaiuza bila chaja.
Ili charger uuze kivyake ama?
Hii kwny management a/c inaangukia kwny cost cutting measures
Hakuna cha ku-save dunia kutokana na taka za plastiki wala nini.
Hio sasa wameifanya kama features za kwny magari,ukitaka full options utalipia zaidi kuliko asiyetaka mambo hayo.Ukisoma hiyo article, utaona wameandika kwamba wao Xiomi wata ship charger separately, ukiopt in for charger unapewa separately (Hawajasema kama ni free lakini).
Hio sasa wameifanya kama features za kwny magari,ukitaka full options utalipia zaidi kuliko asiyetaka mambo hayo.
Hilo kampuni limekosa washauri?Charger utumie ile uliyokuwa unatumia zamani kabla hujanunua simu mpya
Walianza Iphone naona sasa na wengine wanafuataHilo kampuni limekosa washauri?
So kila mtu anayenunia toleo jipya kutoka kwao tafsiri yake ni kwamba awali ya hilo toleo alikua anatumia brand yao?
?????????Xiomi imeingiza sokoni simu yao mpya ya Mi11 sokoni. Kama iphone 12 na wao hawatauza sambamba na charger kwa kigezo cha kutunza mazingira na kusaidia kupunguza taka plastiki duniani.
Sababu hii pia ndio walitumia apple inc kutuuzia simu bila charger na ikaleta mijadala mikubwa humu.
Xiaomi Mi 11 does not ship with charger and cable in the box but that’s alright; here’s why
Xiaomi will not ship the Mi 11 with a charging brick and cable in the original retail box. Xiaomi Mi 11, as expected, does not ship with a charger and cable intechfans.co.uk
Charger mpya ni type C to type C, na hizi simu mpya pia zinakuja Na type C to type C cable, Hivyo charger ya zamani Huwezi tumia na Cable yako mpya.Angalau kwenye gari features zinazoachwa hazikuzuii kulitumia. Charger kwenye simu haina option, which means unatakiwa kuinunua, labda uwe unayo tayari.
Na wengi wetu tunaamini charger ya kununua na simu ndiyo original, hizi zingine unakuta hata compatibility ni issue.