Iphone latest za mtumba uwezo na bei zake.

General Nguli

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2022
Posts
1,190
Reaction score
2,508
Wakuu natumai nikwema huku tukiendelea na pilika za kujiandaa na msimu mpya wa Ligi yetu pendwa ya Mpira wa miguu.

Nende moja kwa moja kwenye mada kuwa wapi naweza pata IPHONE nzuri ya mtumba kuanzia 13 na kuendelea.
Ikiwemo gharama zake na hata uwezo wake.

N.B hizi simu hata kama watu wanaziponda ila ni simu flan ukiwa nayo mkononi watu hawaachi kuitazama zaidi ya mara moja.
 
Zama soko la pindou dou uchin ukadake kwa bei kitonga
 
Bei mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…