biashara mkuu. watu hawafiki bei na mashart tu.Ni ngumu apple kufanya hivyo.
OS inaendana na components. Ni rahisi kwa kampuni kuadjust OS yake kama components wanatengeneza wao.
Sahivi Apple ana Chip zake, sahivi wapo na A14 bionic i guess. Kukupa iOS manake akupe na chip set zake, akupe almost kila kitu.
kitu gani apple analeta kipya na cha kipekee, zaidi ya kurudia walikotoka wenzie na kuboresha.Hakuna cha umoja ni nguvu.
Hapo ndo mwisho wao wa 'innovation'.
Kipi kipya wataweka ambacho kitaishangaza dunia?
Sahivi kuna kitu kinaitwa 'industry standards' mfano, processor, ram, screen size and refresh rate, n.k.
Ukinunua flagships za Android, specs zinafanana almost zote. Wanachoweza kuongeza ni 'skins' kwenye Android.
Lakini apple anaweza akakuletea kitu chake pekee.
Huku android kila kitu kipo, huko apple no rahisi kuongezea vitu kwa kuwaiga android, mfano apple anaweza kuongeza radio kama android, kuruhusu kuweka default app, n.k.Ukinunua flagships za Android, specs zinafanana almost zote. Wanachoweza kuongeza ni 'skins' kwenye Android.
Lakini apple anaweza akakuletea kitu chake pekee.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sasa huyu jamaa anapata wapi Nguvu ya kuiponda iphone??? Pisi moja makini...msalimie mzeeHa ha ha ha ha mke wang huyo[emoji1787] nlimpata baaday ya yey kuniona natumia iphone[emoji38][emoji38][emoji38]
Huku android kila kitu kipo, huko apple no rahisi kuongezea vitu kwa kuwaiga android, mfano apple anaweza kuongeza radio kama android, kuruhusu kuweka default app, n.k.
Pia iphone kanunua processor zake kwa matoleo mengi tu ya iPhone,
Apple ndiyo the largest company by market cap dunia nzima. Apple ndiyo the most valuable company on planet. Hakuna kampuni duniani ambayo inaweza kuuzwa kwa bei ghali kama apple. Mnapokuja na vi android vyenu tembeleeni page za stocks and money.
Main point hapo ni kwamba inabidi upitie pirika pirika nyingi ili uweze kufanya kitu ambacho kwa android kipo tayari, Ama kweli Iphone ni Tatizo.....Kihusu download nyimbo ipo hivi, nyimbo utakazonunua tu ndo znaweza kuplay ktk media player ya apple(apple music) tu, lakin hii haikunyimi uhuru wa kutodownload nyimbo ambazo si za kulipia, media player zpo nyingi mfano VLC inakaa ktk iphone na inapiga kazi fresh tu video, audios, movie vyote unawez kuangalia kutumia media player hiyo.
Kuhusu kudownload nyimbo unaweza kudownload nyimbo utakavyo, cha kufanya ingia app store pakua app inaitwa DOCUMENTS (Hii app inakuwezesha kidownload movie, audios, videos, documents, pdf, photos n.k)
RUDI UNUNUE IPHONE UENDELEE KUICHUNGUZA [emoji16]
NOTE:
Huwezi kuifurahia Iphone kama sio mtundu wa simu itakutesa tu [emoji116][emoji116]NYIMBO ZA BABALEVO HIGH & LOW IMEDOWNLOADIWA HIYO, HIZO ZINGINE NI APPView attachment 1532638
View attachment 1532639
View attachment 1532640
Usalama wa data ( ulinzi ) , unategemea na mtumiaji na matumizi yake. Hata android ipo salama pia. Nakumbuka kipindi nafanya certification zangu cyber, wadau walikuwa wanasema window haina usalama compare to ubuntu.. nikawa naambai haya nendeni mka hack hiyo windo iliyo nyepesiKuna watu iPhone ni mkombozi wao kwa ulinzi wa data. Kama unaona iPhone inakubana sana basi sio level yako maana kila kitu ni ghali na very limited.
Hahahaaaa,acha uchokozi.
Tunapozungumzia usalama ndio iPhone ni salama lakini pia android nayo ina ukuta wa ulinzi (sio pazia), Hapa ni kama darasani iPhone ma android wanapewa mtihani iPhone anapata 90% android anapata 80% na wote wana alama ya A.Mkuu afadhali umenisaidia kusema la moyoni, kiukweli kabisa na tatizo la kujieleza ila kwa maelezo yako umesema nilicho kuwa na tamani kueleza. Kiufupi Iphone ni kama urembo tu hauezi customise wala haina features nyingi kama android, wanacho tusumbua nacho zaidi labda security kwa hilo.kweli wako vizuri ila ipo siku na amini android wata kuwa na udhibiti mkali kama iphone.
anayesifu apple kwa minajirj ya ulinzi nchi za africa hajitambui. au ndio ule ule ushamba wa kukielezea kitu kwa mkumbo.Tunapozungumzia usalama ndio iPhone ni salama lakini pia android nayo ina ukuta wa ulinzi (sio pazia), Hapa ni kama darasani iPhone ma android wanapewa mtihani iPhone anapata 90% android anapata 80% na wote wana alama ya A.
ila kwa iPhone security wameikaza kiasi hata mtumiaji anakosa raha ya uhuru wa kawaida, inakuwa kama mtoto wa geti kali yupo salama ila yupo ndani mda wote hata kupata furaha kwa kujichanganya na wenzie nje hana.
iphone ilishawahi kudukuliwa na picha kibao zilivujishwa za watu maarufu za uchi. Pia hata mapolisi walimkamata gaidi marekani walifanikiwa kuivunja hio iphone ndanibya mda mfupi tu, licha ya kampuni ya iPhone kukataa kuwapa msaada polisi ila walifanikiwa.
Kwa hapa kwetu bongo hata simu ya kitochi ukiweka pincode upo salama maama hata wasomo wa IT wengi ni wa kufaulu kwenye vueti sio ujuzi, IT wengine wanamaliza vyuo hata kupiga window hawajui ila vyeti viko fresh sasa huyu atamtishia nani usalama wake wa simu [emoji16][emoji16].
Haya mambo ya ulinzi kwa hapa bongo naona ukiweka ulinzi wa kuchora pattern au kuingiza pincode ushamaliza mchezo na wala sijawahi kusikia mtu akilalamika hapa bongo mambo ya kudukuliwa simu yake kama aliweka pin au pattern.
Hata wasanii kibao wanaolalamika instagram zao zimedukuliwa huwa wanatumia iPhone ila kwasababu ya uzembe wao, majangili hawanaga hata haja ya kushika simu zao ili wadukue account zao za insta
Mtaalam aliebobea mambo ya security anadukua chochote anachotaka na hakuna wa kumzuia maana hakunaga system ambayo ina usalama 100% na ndio maana hata apple walipokataa kutoa ushirikiano kwenye kuivunja system ya gaidi mwenye iphone kuna wataalam waliweza kuivunja.
Kumbuka iPhone inabeba 60% ya faida kwenye biashara ya smartphone ulimwenguni. Hiyo 40% ndo wengine wote waliobaki wanaigombania.biashara mkuu. watu hawafiki bei na mashart tu.
Apple wanaweka kitu na kukitoa kukiwa na sababu maalumu. Hawafuati mkumbo kama watu wa Android. Sioni utofauti wowote wa simu za Android labda 'skins' zinazowekwa juu ya Android OS.Huku android kila kitu kipo, huko apple no rahisi kuongezea vitu kwa kuwaiga android, mfano apple anaweza kuongeza radio kama android, kuruhusu kuweka default app, n.k.
Pia iphone kanunua processor zake kwa matoleo mengi tu ya iPhone,
wenzie wanagombania 40 sababu yeye hawekezi katka research na kutumia pesa nyingi. ndio sababu anakuwa mtu wa kurudia vilivyokwisha fanyika tayari.Kumbuka iPhone inabeba 60% ya faida kwenye biashara ya smartphone ulimwenguni. Hiyo 40% ndo wengine wote waliobaki wanaigombania.
Kwahiyo kwa CEO wa Apple, hataona incentive yeyote ya kuruhusu kampuni nyingine watumie iOS.
Apple wana ecosystem ambayo ipo complex sana. Kampuni ingine haiwezi kuaccess hiyo ecosystem kienyeji tu.
Hizo kampuni mbili zinauza hadi low range phones including zile features phones.iPhone ambae ni monopoly kwenye industry ya iphones, Kwa vile ni monopoly hata bei hazi affect elasticity of demand inabaki kuwa ine astic
Android ni industry yenye firms nyingi sana kama Samsung, Huawei, Motorola, One plus one, Sony, Nokia, Lenovo Xiamoni n.k.
Industry ya android ina thamani mno kuliko industry ya iPhones. Naomba kabla hujaja ku comment uwe na uelewa wa indsustry na firms, Kwa vile huku hakuna monopoly hata demand inakuwa elastic sana ila over rall industry inabaki kuwa juu.
Kwa hio kabla hujakurupuka ni vyema ukijua ni wazi kabisa industry ya android ukiunganisha kampuni zote ni ghali kuliko industry ya ios ya iPhone.
Pia linapokuja swala la Market Share Iphone anashika namba 4, akipitwa na simu kama samsung, huawei na nyingine
Kwa mujibu wa ripoti ya Idc kampuni hizi ndio zimeteka soko
1.Samsung - 21.2 %
2. Huawei - 17.8%
3. Apple - 13%
4. Vivo - 9%
5. Others (mostly android os) - 28%
Mkuu ume elezea vizuri sana na kitaalam ila point hapa je iphone ni user friendly kama ilivyo android ambayo una weza customize to your preferences stil una pata variaty of applications toka play store na sehemu zingine kibao? Jibu ni NO. Iphone kama ulivyo kwisha eleze wameifunga mno mpka imekosa taste ina baki kuwa ya fashion kupiga simu na kutuma insta chats ila kwa ladha ya apps tofauti kwa iphone huwezi enjoy kitu iko so limited.Tunapozungumzia usalama ndio iPhone ni salama lakini pia android nayo ina ukuta wa ulinzi (sio pazia), Hapa ni kama darasani iPhone ma android wanapewa mtihani iPhone anapata 90% android anapata 80% na wote wana alama ya A.
ila kwa iPhone security wameikaza kiasi hata mtumiaji anakosa raha ya uhuru wa kawaida, inakuwa kama mtoto wa geti kali yupo salama ila yupo ndani mda wote hata kupata furaha kwa kujichanganya na wenzie nje hana.
iphone ilishawahi kudukuliwa na picha kibao zilivujishwa za watu maarufu za uchi. Pia hata mapolisi walimkamata gaidi marekani walifanikiwa kuivunja hio iphone ndanibya mda mfupi tu, licha ya kampuni ya iPhone kukataa kuwapa msaada polisi ila walifanikiwa.
Kwa hapa kwetu bongo hata simu ya kitochi ukiweka pincode upo salama maama hata wasomo wa IT wengi ni wa kufaulu kwenye vueti sio ujuzi, IT wengine wanamaliza vyuo hata kupiga window hawajui ila vyeti viko fresh sasa huyu atamtishia nani usalama wake wa simu [emoji16][emoji16].
Haya mambo ya ulinzi kwa hapa bongo naona ukiweka ulinzi wa kuchora pattern au kuingiza pincode ushamaliza mchezo na wala sijawahi kusikia mtu akilalamika hapa bongo mambo ya kudukuliwa simu yake kama aliweka pin au pattern.
Hata wasanii kibao wanaolalamika instagram zao zimedukuliwa huwa wanatumia iPhone ila kwasababu ya uzembe wao, majangili hawanaga hata haja ya kushika simu zao ili wadukue account zao za insta
Mtaalam aliebobea mambo ya security anadukua chochote anachotaka na hakuna wa kumzuia maana hakunaga system ambayo ina usalama 100% na ndio maana hata apple walipokataa kutoa ushirikiano kwenye kuivunja system ya gaidi mwenye iphone kuna wataalam waliweza kuivunja.
hiyo sababu huwa haipo, wao ndio huileta. rejea msimamo wao katika innovation. wanasema(usimpe mteja kitu bila kumwelekeza matumizi) ndio atajua thamani yake.Apple wanaweka kitu na kukitoa kukiwa na sababu maalumu. Hawafuati mkumbo kama watu wa Android. Sioni utofauti wowote wa simu za Android labda 'skins' zinazowekwa juu ya Android OS.
Teknolojia inakua sana, kuna baadhi ya vitu huwa haviwekwi kwasababu vimeshapitwa na wakati. Mfano, headphone jack. Hata mimi sioni faida yake tena.
Sasahivi kuna wireless charging, hakuna haja ya kutembea na miwaya tena wakati almost vitu vinavyozalishwa sasa vinaendana na tech iliopo. Mfano, kuna magari yana sehemu za kuchajia simu wirelessly. Kwahiyo usishangae iphone 12 au 13 wataondoa sehemu ya kuchaji, mtachaji simu zenu wirelessly.
apple anakuja huku bro, soko ni pumbavu sana.mwaka jana mizigo hiyo sokoni. mwaka huu hatujapoa tumepigwa iphone se2. kabla october hatujapewa packege ya kutosha.Hizo kampuni mbili zinauza hadi low range phones including zile features phones.
Iphone atakupa flagship moja yenye basic na pro model, baada ya miezi 6 atakupa mid range yake.
Kwahiyo almost model 3 au 4 tu.
Mfano mwaka jana, apple ametoa iphone 11, iphone 11 pro na iphone 11 pro max. Mwezi wa 6 akakupa mid range yake ambayo wanatumia chip za hizo flagships.
Njoo kwa Samsung sasa. Ana S20 flagship series, Note Series, A series, J series, M series. Na nyingine nisizozifahamu. Anaweza akatoa hata models 30 tofauti kwa mwaka mmoja ila apple anakupa model 4.
Kwahiyo sishangai Samsung na Huawei kufanya vizuri interms of unit sold ila kwenye net profit, Apple amebeba 60% ya faida ya smartphone market.