Kihusu download nyimbo ipo hivi, nyimbo utakazonunua tu ndo znaweza kuplay ktk media player ya apple(apple music) tu, lakin hii haikunyimi uhuru wa kutodownload nyimbo ambazo si za kulipia, media player zpo nyingi mfano VLC inakaa ktk iphone na inapiga kazi fresh tu video, audios, movie vyote unawez kuangalia kutumia media player hiyo.
Kuhusu kudownload nyimbo unaweza kudownload nyimbo utakavyo, cha kufanya ingia app store pakua app inaitwa DOCUMENTS (Hii app inakuwezesha kidownload movie, audios, videos, documents, pdf, photos n.k)
RUDI UNUNUE IPHONE UENDELEE KUICHUNGUZA [emoji16]
NOTE:
Huwezi kuifurahia Iphone kama sio mtundu wa simu itakutesa tu [emoji116][emoji116]NYIMBO ZA BABALEVO HIGH & LOW IMEDOWNLOADIWA HIYO, HIZO ZINGINE NI APP
View attachment 1532638
View attachment 1532639
View attachment 1532640