NetworkEngineer
JF-Expert Member
- Jun 21, 2012
- 1,952
- 1,181
Sio zote mimi natumia Samsung A20 ina Radio..nikichomeka Earphone tuu napata frequencyKero ya samsung ni kutokuwa na redio.
Siyo kweli app karibu zote kubwa zimeanzia iPhone ndo zikaja android. App nyingi sana zimeanzia iOS kuanzia whatsapp, instagram (ios imeanza toka 2010 wakati android version imetolewa 2012), snapchat imeanzia ios mwaka 2011, app maarufu unazojua wewe asilimia 80% zimeanzia ios taja yoyote achana na hizi app ambazo ni ndogo ndogo au anazotengeneza google mwenyewe lakini maarufu zimeanzia iOS.Android hakwepeki ππ
Yani umetoka iPhone imekulazimu uje huku android kwasababu develelopera wengi wa app wanaiwezea android.
Ila mkuu jichange hio app yako nahisi ni kutokana na ufinyu wa bajeti ukaweza kutengeneza app kwa android kwasababu developera wapo shazi.
Andaa hata milioni utengenezewe app kwa ios,
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Acha tu...ubaya ubayaa tuWatumiaji wa tecno kila wakisoma uzi huu wanatoka na furaha sana[emoji2][emoji2][emoji2]
Sio simu hiyo ni calculate iliyochangamka
Mwambie ni sawa na update za vingamuzi Tu user hufaidi chochote hahaaaaaaaπππ natengua kauli ninakuja IOS nikipata helaSamsung au Huawei kuuza simu nyingi zinakusaidiaje wewe mteja??
Wew acha kufananisha huawei na hayo makopotecno uongo tumia ata samsung wewe na kuna na ndugu zake tecno wana fanya poa kuliko tecno.. huawei,oppo na infinix
inategemea ni iphone ipi 7 kushuka chini ni tecno tu.Kuna iphone haters wengi sana humu na Tz kwa jumla. Ni kama haters wavijana wanaomiliki magari..huwezi kuta mtu wa iphone anatoka povu la omo kuhusu simu zingine au anafungua uzi kuponda simu za android na zingine, sijui ni wivu au chuki tu! Dah...
Zinauzwa wapi kwa hapo Dar es Salaam ? Nikanununr hata kama 1 mill.. maisha yenyewe ndio haya hayaSamsung wa na TV inauzwa hadi milion 50, je ni lazima ununue hiyo TV? jibu ni hapna, hata hizo airpads siyo lazima ununue ni option kwa mwenye uwezo na anayependa. Hivi unajua zina ninii cha ziada kuliko wireless earpods nyingine.
1. Zinatambua zikiwa masikioni na zinatambua zisipokuwa masikion, unaset ukizitoa tu masikion kama wasikiliza mziki kwenye simu zinajipause.
2. Ukirudisha masikion mziki waendelea
2. Unaziconnect kwenye icloud hata mtu akiiba asizitumie au zikipotea uweze kuzipata.
3. Zina mziki mzuri sana.
4. Ukizigonga gonga na kidole, mara mbili mziki unachange
5. Ukizgonga zinaconnect na siri
Je bado unazilinganisha na za kawaida?
Sehemu nyingi tu mkuu hata maduka yao yaliyosajiliwa hata pale mlimani city na shopers utapata japo hao bei yao siyo rafikiZinauzwa wapi kwa hapo Dar es Salaam ? Nikanununr hata kama 1 mill.. maisha yenyewe ndio haya haya
Na wengi hawanunui flagships.Android users sababu zao za kitoto sana, Mwingine analilia kubadilisha Fonts. Yaani unamkuta mtu ana wallpapers hadi kwenye keyboard.
Laki 3 ni refub halafu used hapa bongo.inategemea ni iphone ipi 7 kushuka chini ni tecno tu.
ndio wanatusumbua kitaa.
kwanza zinauzwa mpaka laki 3 bei ya infinix kabisa hii.
sasa hizi simu za namna hii zinaachwa vingi sana na simu za kisasa za android bei hiyo.Laki 3 ni refub halafu used hapa bongo.
Kama ulikuwepo. Vitabu pia.Halafu ukute zinajaa picha tu[emoji23][emoji23]
ππππππMsemo wa kijinga na wa hovyo kuwahi kutokea
Mkuu bila hizi simu za laki za android ukoo hapa bongo wenye simu za bei wangebaki wachache tu.Na wengi hawanunui flagships.
Wananunua models za mwisho kabisa ndo wanaanza kelele.
Apple hana models za kijinga.