mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 31,415
- 38,761
mkuu mimi binafsi huwa namshangaa mtu mwenye mtizamo kama wa kwako.Ndo ukubali kwamba huna hela ya kununua bidhaa za Apple na sio utafute sababu za kuzikandia. Leo utasikia ni gereza, mara simu hazina mvuto.
Asilimia kubwa ya watu wanaopondea iphone ni kwamba hawana uwezo wa kuzimiliki. Na sio suala la customization.
kusema mtu mwenye tecno ama itel ya 250k, hawezi kununua iphone, ndiko kunafanya wamiliki wa iphone waonekane watu wa hovyo hovyo na wafuata mkumbo,wanaotumia nguvu nyingi na muda kuonekana wako vyema. kumbe maskini si wote, wengine wamefuata ubora, upekee nk.
sababu ni kweli 100% kwamba simu za watoto wengi hizo iphone 6 mpaka 7,kwa uzee wake sasa zimepoteza ubora na kufanya watu wa android hata za bei chee kuona apple si kitu si lolote,hazikai na charge tena, camera zake zimeshapitwa na wakati nk.
hata mtu akikukuta na iphone yako,akaisifia itel yake unatakiwa tu umthibitishie ni kwa jinsi gani ni bora yako kwa itel yake, ukianza mambo ya bei,sijui mara huna hela unaweza ukaaga shindano huku umepanick.