iPhone ni kama gereza la kifahari. Ni kwajili ya fasheni tu, hutaweza kufanya vitu muhimu vifuatavyo...

iPhone ni kama gereza la kifahari. Ni kwajili ya fasheni tu, hutaweza kufanya vitu muhimu vifuatavyo...

Natumia iPhone
Nyimbo nadownload vizuri tu
Radio ndo hivyo Online (Tunnel In)

Ieleweke kuwa huwezi kumiliki hii simu kama unakuwa na bando la kubahatisha. [emoji23]

Vitu vingi ni Online na lazima utumie bando[emoji41] nyie wenye bando za bure za Social network huu mziki wa kumiliki iPhone hamuwezi.

Endeleeni kumiliki hizo simu zenu za kutumia miezi mitatu zinaanza matatizo, mara Camera haipigi, mara inaleta mistari kwenye Kioo [emoji38] matatizo kibao.
 
1. hutaweza kusikiliza radio bila bando

3.Hakuna tundu la kuingiza earphone, hapa hadi ununue vifaa vya ziada, huku android ukinunua ear phonr unaitumia hapo hapo

3. andaa laini moja tu, kuna matoleo machache sana yenye laini 2...
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Umeongea kwa machungu,
 
Iphone wanalimit hizo ishu zote ili mradi usiweze kubypass ile passcode au apple id. Na wamefanikiwa kwa asilimia 98.

Ingawa kinachotokea ni mteja kusubmit privacy yake kwa apple ili huo ulinzi ukamilike.
 
Ila sijawahi ona simu zinatoa picha nzuri kama iphone, kah yani ni balaa
 
1. hutaweza kusikiliza radio bila bando

3.Hakuna tundu la kuingiza earphone, hapa hadi ununue vifaa vya ziada, huku android ukinunua ear phonr unaitumia hapo hapo

3. andaa laini moja tu, kuna matoleo machache sana yenye laini 2..../QUOTE]Shida zote za nini, unakua na simu mbili android tena Huawei na iPhone basi unakua unainjoi tu, tatizo boss
 
Back
Top Bottom