iPhone ni kama gereza la kifahari. Ni kwajili ya fasheni tu, hutaweza kufanya vitu muhimu vifuatavyo...

[emoji3][emoji3] bwege wewe sasa nyuzi zangu za buku zinakuhusu nini? Mimi wakishua sema nakutana na vibwengo balaa hadi naanzisha uzi. Yaani unanijua jina wakati mimi hata sijui nachati na nani[emoji23]

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Iphone kama iPhone sifa yao inayowapa umaarufu na utofauti na wengine ni security
Kwa kuzingatia hilo wanajitahidi sana kuhakikisha mambo yote yanayoweza kisababisha data kwenye kifaa chako yanakua hatarini basi hawayaruhusu
Mfano kuweka sd card
Kidownload vitu kwenye system files
Kuiinstall app ambazo Apple hawajazithibitisha
Nk nk

Hata hivyo malalamiko na kashfa kuhusu ufungwa wa iphone ni ama ya kitoto au yaliopitwa na wakati na haswa kwa nchi zetu za kimasikini tunazopenda vitu bure bure au kutumia bundle zetu kidogo

Unakuta mtu analalamika kabisa eti hawezi kuweka wimbo wa ngongingo kama ringtone au hawezi sijui kubadili fornt style, wallpaper au kuifanya simu remote control.
Unakuta mtu analia lia ati hakuna tundu la earphones sababu zinasaidia hata simu ikikuponyoka waya zitasaidia isianguke.....really?
 

[emoji1][emoji1][emoji1] we jamaa umenichekesha saana kwa ufupi iphone ina bana mambo ambayo sio muhimu sana ili kusimamia Securty policies zake. Na kwa hili wamefanikiwa kiasi. Japo kuna vitu bado havijakaa sawa mfano mtu anaweza zima simu hata ikiwa locked, mtu anaweza zima data hata ikiwa locked (hii mbaya sana) n.k
 
Securty inayo simamiwa na Apple ni usalama wa DATA zako ndani ya divice na sio usalama wa Divice yako

Wewe ukiiba hiyo device sijui uzime internet au uwashe
Sijui uzime simu au uwashe wao sio concern yao
Wanachojali wao ni kwamba hutaweza ku access data za ndani ya simu
 

Mhhh simu gani hiyo mkuu
 
Mhhh simu gani hiyo mkuu
Unaweza kuwa na Ferrari, halafu akaja mtu ana Volkswagen Beetle akakupita resi.

Tatizo kubwa si simu, tatizo kubwa ni kujua kuitumia simu vilivyo.

Mimi nina Samsung Note 9 hapa na control Servers za nguvu kwa VNC. Na edit documents na kuweza ku email. Naingia kwenye Conference calls za Microsoft Teams. Nina SSH client. Na hapo kuna vitu kibao sijavitumia.

Nina SD card ya 512 GB, simu ina support up to 2 TB. Naweza kusoma vitabu, kuangalia movie, kupiga muziki.

Laptop labda nitake screen kubwa tu.

Watu wengi wananunua simu ,enye features nyingi ambazo hata hawazitumii.

Na simu yangu hata si latest in the market, imetoka miaka miwili nyuma.
 

[emoji1487][emoji1487][emoji1487] Siku moja utupe somo mkuu!
 
Hizi simu inategemea na matumizi ya Mtu. Kwa mtu ambaye sio wa matumizi sana zaidi ya kupiga kusoma emails,browsing na Chatting I phone ni Ideal ila kwa mtu mtundu mtundu wa kucheza na devices katika mambo mbalimbali ya kazi zake I phone itamzingua sana sababu atakosa fursa ya "Tinkering" kama anavyofanya Bw Kiranga
 
Hivi Samsung Galaxy S4 ni imetoka mwaka gani?

Maana ndo simu yangu nnayotumia hapa imeanza kutumika 2015 , sijui imetoka mwaka gani
 

Hahahahaha umeongea vizr !!!! Na ni ukwelii me natumia iphone sijaona kitu ambacho nilikuwa nafanya kwenye android nikashindwa services zangu ziko vile vile .... sema th ndo nafurahi hii platform yao na mfumo endesha ios 13 na 14 ziko poa sana very smooth
 
Haya maneno yote yangetolewa na jinsia ya ke kidogo ningeelewa kwanini ameamua kusema hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…