Iceberg9
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 24,893
- 47,768
[emoji1787] [emoji1787] Yani Ukipiga picha hivi, kah kwenye portrait mode alaaaaaaa ni shida nyingine hiyo,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1787] [emoji1787] Yani Ukipiga picha hivi, kah kwenye portrait mode alaaaaaaa ni shida nyingine hiyo,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hii inauzwa 1.2m sio mchezoKanunue Huawei P40pro,
More than a camera
View attachment 1531933View attachment 1531934wewe bado sana upo kwenye miwaya waya mimi almost kila kitu nafanya wirelessy kuanzia kuchaji hadi kusikiliza mziki
[emoji3][emoji3] bwege wewe sasa nyuzi zangu za buku zinakuhusu nini? Mimi wakishua sema nakutana na vibwengo balaa hadi naanzisha uzi. Yaani unanijua jina wakati mimi hata sijui nachati na nani[emoji23]
Iphone kama iPhone sifa yao inayowapa umaarufu na utofauti na wengine ni security
Kwa kuzingatia hilo wanajitahidi sana kuhakikisha mambo yote yanayoweza kisababisha data kwenye kifaa chako yanakua hatarini basi hawayaruhusu
Mfano kuweka sd card
Kidownload vitu kwenye system files
Kuiinstall app ambazo Apple hawajazithibitisha
Nk nk
Hata hivyo malalamiko na kashfa kuhusu ufungwa wa iphone ni ama ya kitoto au yaliopitwa na wakati na haswa kwa nchi zetu za kimasikini tunazopenda vitu bure bure au kutumia bundle zetu kidogo
Unakuta mtu analalamika kabisa eti hawezi kuweka wimbo wa ngongingo kama ringtone au hawezi sijui kubadili fornt style, wallpaper au kuifanya simu remote control.
Unakuta mtu analia lia ati hakuna tundu la earphones sababu zinasaidia hata simu ikikuponyoka waya zitasaidia isianguke.....really?
Securty inayo simamiwa na Apple ni usalama wa DATA zako ndani ya divice na sio usalama wa Divice yako[emoji1][emoji1][emoji1] we jamaa umenichekesha saana kwa ufupi iphone ina bana mambo ambayo sio muhimu sana ili kusimamia Securty policies zake. Na kwa hili wamefanikiwa kiasi. Japo kuna vitu bado havijakaa sawa mfano mtu anaweza zima simu hata ikiwa locked, mtu anaweza zima data hata ikiwa locked (hii mbaya sana) n.k
Inategemea na kazi, sasa mtu kama marehemu Ali Mufuruki aliweza kufanya kazi zake zote vizuri zaidi na simu kiasi hakuhitaji laptop.
Mfano mzuri nimekupa ni wa matumizi ya internet.
Kuwa na connection ya internet kwenye simu ni rahisi, kwa gharama ndogo na convenient zaidi kuliko kwenye laptop.
Sasa kama nina document naweza ku email kutoka kwenye simu nikamaliza kazi zangu, hapo nitahitaji laptop kwa kazi hiyo? Laptop ambayo pengine aghalabu haina internet connection nikiwa barabarani?
Hapo simu si tu ina i replace laptop kwa muktadha wa kazi hiyo ya kutuma document, simu imekuwa bora zaidi ya laptop.
Kwa sababu.
1. Ni ndogo. I don't need to lug a bulky laptop with me everywhere.
2.It has internet connection.
Na kama una laptop yenye disk space chini ya GB 640, tayari simu yangu imeshakupita hata kwenye storage space.
Unaweza kuwa na Ferrari, halafu akaja mtu ana Volkswagen Beetle akakupita resi.Mhhh simu gani hiyo mkuu
Unaweza kuwa na Ferrari, halafu akaja mtu ana Volkswagen Beetle akakupita resi.
Tatizo kubwa si simu, tatizo kubwa ni kujua kuitumia simu vilivyo.
Mimi nina Samsung Note 9 hapa na control Servers za nguvu kwa VNC. Na edit documents na kuweza ku email. Naingia kwenye Conference calls za Microsoft Teams. Nina SSH client. Na hapo kuna vitu kibao sijavitumia.
Nina SD card ya 512 GB, simu ina support up to 2 TB. Naweza kusoma vitabu, kuangalia movie, kupiga muziki.
Laptop labda nitake screen kubwa tu.
Watu wengi wananunua simu ,enye features nyingi ambazo hata hawazitumii.
Na simu yangu hata si latest in the market, imetoka miaka miwili nyuma.
Heri hata tecno
Hivi Samsung Galaxy S4 ni imetoka mwaka gani?Natumia iPhone
Nyimbo nadownload vizuri tu
Radio ndo hivyo Online (Tunnel In)
Ieleweke kuwa huwezi kumiliki hii simu kama unakuwa na bando la kubahatisha. [emoji23]
Vitu vingi ni Online na lazima utumie bando[emoji41] nyie wenye bando za bure za Social network huu mziki wa kumiliki iPhone hamuwezi.
Endeleeni kumiliki hizo simu zenu za kutumia miezi mitatu zinaanza matatizo, mara Camera haipigi, mara inaleta mistari kwenye Kioo [emoji38] matatizo kibao.
Hivi Samsung Galaxy S4 ni imetoka mwaka gani?
Maana ndo simu yangu nnayotumia hapa imeanza kutumika 2015 , sijui imetoka mwaka gani
Sasa hiyo ndo nnayo tumia mpaka sasa2013
Sasa hiyo ndo nnayo tumia mpaka sasa