iPhone ni kama gereza la kifahari. Ni kwajili ya fasheni tu, hutaweza kufanya vitu muhimu vifuatavyo...

Natumia iPhone
Nyimbo nadownload vizuri tu
Radio ndo hivyo Online (Tunnel In)

Ieleweke kuwa huwezi kumiliki hii simu kama unakuwa na bando la kubahatisha. [emoji23]

Vitu vingi ni Online na lazima utumie bando[emoji41] nyie wenye bando za bure za Social network huu mziki wa kumiliki iPhone hamuwezi.

Endeleeni kumiliki hizo simu zenu za kutumia miezi mitatu zinaanza matatizo, mara Camera haipigi, mara inaleta mistari kwenye Kioo [emoji38] matatizo kibao.
 
1. hutaweza kusikiliza radio bila bando

3.Hakuna tundu la kuingiza earphone, hapa hadi ununue vifaa vya ziada, huku android ukinunua ear phonr unaitumia hapo hapo

3. andaa laini moja tu, kuna matoleo machache sana yenye laini 2...
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Umeongea kwa machungu,
 
Iphone wanalimit hizo ishu zote ili mradi usiweze kubypass ile passcode au apple id. Na wamefanikiwa kwa asilimia 98.

Ingawa kinachotokea ni mteja kusubmit privacy yake kwa apple ili huo ulinzi ukamilike.
 
Ila sijawahi ona simu zinatoa picha nzuri kama iphone, kah yani ni balaa
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…