iPhone ni kama gereza la kifahari. Ni kwajili ya fasheni tu, hutaweza kufanya vitu muhimu vifuatavyo...

kuhamia kwenye data sikatai ila matumizi na limitation kwenye cm zote izo za nn

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kwenye kutengeneza bidhaa lazima ulenge kundi la watu flani, ukiona unatumia iphone halafu unaona kama haikufai hupati unachotaka jua wewe siyo kati ya walengwa. Walengwa wa iPhone siyo watu wa kuwa na muda na kuweka ringtones, mfano mimi ninatumia samsung kwa sasa nimeahama iPhone kwasababu ya kitu flani, lakini sijawahi kuweka ringtone ya mziki, sijawahi eti hangaika na kudownload themes sijui ni jailbreak nifanyeje hayo nilikuwa nayafanya zamani kwasasa I am busy and grown up kiasi kwamba hayanisumbui.
iPhone imetengenezwa kwa ajili ya class flani kama ambavyo Chrome OS imelenga kundi flani, ukienda Marekani utakuta mashule, na taasisi kama hizo wanatumia chrome OS kwa ajiliya wanafunzi, sas wewe ukiinunua utalalamika mbona hii computer ina storage ndogo, mbona haifanyi kazi bila internet, it was not meant to operate like that.
 
Usitaje tu android taja android na simu nyingine specific, maana ugharama wa iphone haishii kwenye OS bali pia unajumuisha na hardware zilizotumika kuitengeneza ikiwemo socs, na components mbalimbali, zinazotengeneza camera, display, na mambo mengine. Kwahiyo ugharama wa iphone uko kwenye hardware zaidi kuliko OS.
 
Yani sasa unaenda kwenye ushindani wa aina ya simu? Nilifikiri Najadili na mtu anayejielewa
Umesema una i phone yenye tundu la ear phone, simu uliyonayo pasipo na shaka ina miaka mitano tangu itolewe
 
Namba 7 equivalent ya root kwa iphone wanaita ku "JAIL BREAK" japo na yenyewe si powerful kama root kwa android.
 
Tundu la earphones lipi ilo unalolizungumzia? nmeandika huku nachungulia simu yangu[emoji23][emoji23]
kuhusu nyimbo tunadownload kirahisi tu mbona audiomack na bolt zipo kwa ajili yetu ayo mengine sawa ila tumeridhika tuu [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji39][emoji39] dah!! Huo mzigo tu......
 
Daaa umefanya ncheke Kwa saut,ina maana bongo it anaunga wasap tu?

Sent from my itel P32 using JamiiForums mobile app
 
Weka data usage ya iphone tujue inakula gig ngapi kwa mwezi? [emoji4]
 
Sasa hapo unamshangaa nini????[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mbona kama unakazia ukweli kuwa haiwezi kufanya Multi task
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…