Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119]
Mkuu kwenye kutengeneza bidhaa lazima ulenge kundi la watu flani, ukiona unatumia iphone halafu unaona kama haikufai hupati unachotaka jua wewe siyo kati ya walengwa. Walengwa wa iPhone siyo watu wa kuwa na muda na kuweka ringtones, mfano mimi ninatumia samsung kwa sasa nimeahama iPhone kwasababu ya kitu flani, lakini sijawahi kuweka ringtone ya mziki, sijawahi eti hangaika na kudownload themes sijui ni jailbreak nifanyeje hayo nilikuwa nayafanya zamani kwasasa I am busy and grown up kiasi kwamba hayanisumbui.kuhamia kwenye data sikatai ila matumizi na limitation kwenye cm zote izo za nn
Sent using Jamii Forums mobile app
iphne natumia mwaka wa 6 uu, ni ufahari tu ia tunakosa mambo mengi sana,
Usitaje tu android taja android na simu nyingine specific, maana ugharama wa iphone haishii kwenye OS bali pia unajumuisha na hardware zilizotumika kuitengeneza ikiwemo socs, na components mbalimbali, zinazotengeneza camera, display, na mambo mengine. Kwahiyo ugharama wa iphone uko kwenye hardware zaidi kuliko OS.umejitaidi kuongea lakn ieweke na itabaki kua hivyo iphone ni cm yenye gharama kubwa sana na haina tofauti na adroid matumizi yale yale kwanini utumie gharama kubwa kufanya kitu amabacho kwa gharama ndogo kina fanikiwa !!!!???
kisa jina iphone ndio nijiingize kutumia gharama kubwa kitu kidogo
mfyuuuuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Weka wazi unamiliku i phone gani
Gb au Mb?Instagram kwenye ANDROID ina GB 23 au zaid kidogo. Ila kwenye mnyama IOS ina GB 99.
I love you my-
One plus 8 T pro
Mkuu viroba nlifikiri vimeisha tanzania, upo mpakani zambia auInstagram kwenye ANDROID ina GB 23 au zaid kidogo. Ila kwenye mnyama IOS ina GB 99.
I love you my-
One plus 8 T pro
Umesema una i phone yenye tundu la ear phone, simu uliyonayo pasipo na shaka ina miaka mitano tangu itoleweYani sasa unaenda kwenye ushindani wa aina ya simu? Nilifikiri Najadili na mtu anayejielewa
[emoji39][emoji39] dah!! Huo mzigo tu......Tundu la earphones lipi ilo unalolizungumzia? nmeandika huku nachungulia simu yangu[emoji23][emoji23]
kuhusu nyimbo tunadownload kirahisi tu mbona audiomack na bolt zipo kwa ajili yetu ayo mengine sawa ila tumeridhika tuu [emoji23][emoji23][emoji23]
Daaa umefanya ncheke Kwa saut,ina maana bongo it anaunga wasap tu?Ishu ya ulinzi labda kwa wenzetu huko ambako watalamu wapo kibao wa kuvunja simu ila kwa hapa bongo IT anachojua sana sana ni ku burn cd na kuweka whatsapp kwa simu sidhani kama ishu ya ulinzi ni serious.
Pia apple imewahi kudukuliwa picha kibao za masupastaa waohifadhi picha zao kwa i phone zilivuja na pia kuna simu ya iphone iliwahi kufunguliwa ndani ya muda mchache tu na mapolisi.
Ila kwa hapa bongo screen lock ukiweka umemaliza mchezo,
Weka data usage ya iphone tujue inakula gig ngapi kwa mwezi? [emoji4]Natumia iPhone
Nyimbo nadownload vizuri tu
Radio ndo hivyo Online (Tunnel In)
Ieleweke kuwa huwezi kumiliki hii simu kama unakuwa na bando la kubahatisha. [emoji23]
Vitu vingi ni Online na lazima utumie bando[emoji41] nyie wenye bando za bure za Social network huu mziki wa kumiliki iPhone hamuwezi.
Endeleeni kumiliki hizo simu zenu za kutumia miezi mitatu zinaanza matatizo, mara Camera haipigi, mara inaleta mistari kwenye Kioo [emoji38] matatizo kibao.
mwambie 11 MaxYani sasa unaenda kwenye ushindani wa aina ya simu? Nilifikiri Najadili na mtu anayejielewa
Samsung betri bovutecno uongo tumia ata samsung wewe na kuna na ndugu zake tecno wana fanya poa kuliko tecno.. huawei,oppo na infinix
Ndio niniHivyo vyote ulivyosema matumia Iphone a navifanya?
Wewe zem upon addicted na tecno.
"A" series zimekuja na betri nzuri , 4000 mphsSamsung betri bovu
Sasa hapo unamshangaa nini????[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mbona kama unakazia ukweli kuwa haiwezi kufanya Multi taskAliyeandika hii post huenda hajawahi kutumia simu ya iphone, amenishangaza aliposema kuwa huwezi kufanya mult tasking, mfano ubadili mziki then urudi jamii forums pasipo kuanza upya???? Seriously?
Lakini jambola kuchekesha ni sawa ukanunue Evoque halafu utake ipigisha kazi za Land cruiser XL halafu ikishindwa ualamike hili gari siyo kabisa. Au ununue Lamborghini utake lipitisha njia ya korongo halafu liishindwa ulalamike. Ndiyo maana hiyo ikaitwa iOS na hii ikaitwa Android zote zina malengo tofauti. Ni sawa utumie Chrome OS halafu ulalamike mbona haifanyi kazi kama Windows OS.