iPhone ni kama gereza la kifahari. Ni kwajili ya fasheni tu, hutaweza kufanya vitu muhimu vifuatavyo...

1. Hutaweza kusikiliza radio bila bando

NI KWELI...
3. Hakuna tundu la kuingiza earphone, hapa hadi ununue vifaa vya ziada, huku android ukinunua ear phonr unaitumia hapo hapo

KUNA EARPHONES ZAKE BOSS....PIA KUNA IPHONES ZITUMIAZO TUNDU LA KAWAIDA...KUANZIA IPHONE 7 NDO HAKUNA EARPHONES JACK

3. Andaa laini moja tu, kuna matoleo machache sana yenye laini 2.

ZIPO ZITUMIAZO LINE MBILI...SO NI WEWE TU MKUU MAAMUZI YAKO KUNUNUA YA LINE MOJA AU MBILI...PIA KUMBUKA KUNA ANDROIDS ZINA LINE MOJA BOSS...TENA UKIKUTA ANDROID INA LINE MOJA ANDROID USERS WANASHAWISHIKA NA KUAMINI NI ORIGINAL

4. Kudownload nyimbo hata humu jamiifroums ama mtandaoni ni ishu nzito

HAPANA KUDOWNLOAD NYIMBO INAWEZEKANA MKUU.....(movies,videos,audios)
5. Kuhamisha vitu kutoka kwenye simu kwenda kwenye pc ni shughuli pevu.

HAPANA NI RAHISI TU BOSS...UKIWA NA ITUNES AU 3U TOOLS NI RAHISI
6. Apps kibao zipo android kuliko iphone

YES NI KWELI HAUJAKOSEA....LAKINI UKI JAILBREAK UTAPATA VYOTE UTAKAVYO....JAILBREAKING NI KAMA ROOTING KWENYE ANDROID...LAKINI PIA INAWEZEKANA BILA HATA KUJAILBREAK KUNA APP UNAIONGEZA INAPLAY ROLE YA APP STORE UNAIDOWNLOAD KWA SAFARI BOSS
7. Non restricted access ipo kwa android kwa sababu unaweza ku root ukafanya vingi vya ziada, Kwa iphone hapa umebanwa hutaweza kabisa

SIO KWELI...INAWEZEKANA SEMA KWENYE IPHONES INAITWA JAILBREAKING

8. Kwenye android unaweza kutumia simu kama remote kwa vifaa kama samsung, lg ,n.k....huko kwa apple so rahisi labda kwa tv zao za apple tv

KWA REMOTE ZA KUDOWNLOAD INAWEZEKANA BOSS...LAKINI SIHISI KAMA NI HOJA KUBWA KATIKA MATUMIZI YA SIMU

9. Android utaweza kuback up vitu vyako kwenye memory card na pia unaweza kubadili battery kwa wepesi bila hata kwenda kwa fundi, lwa iphone hizi feautures sahau.

KUBADILI BATTERY HATA KWENYE ANDROID KAMA HAUPO FAMILIAR NA MAMBO ZA UFUNDI JAPO KIDOGO HAUTAWEZA....LABDA KWA ANDROID INAYOTUMIA BATTERY YA KUCHOMEKA NA KUCHOMOA....LAKINI KWA BUILT IN BATTERIES LAZIMA UWE NA KAUJUZI KIDOGO MKUU...HIZO NI KWA SIMU ZOTE SIO ANDROID WALA IPHONES.....ISSUE YA DATA BACKUPS SIMPLE TU KWENYE ICLOUD YAKO KUNA OPTION YA KUSAVE DATA ZAKO AUTOMATIC....PIA KUNA STORAGE BACKUP ZINAUZWA (online store) BEI CHEE TU NI OFFICIAL FROM APPLE SERVER
10. Kwenye i phone ku customize vitu kuna vikwazo, mfano ringtone utachagua tu wanazotaka wao iphone na inakuwa sekunde 30 tu, huku android ringtone uutaweka hata ya kingwendu ni wewe

NI UZOEFU TU INAWEZEKANA MKUU....PIA RINGTONE SIHISI KAMA NI HOJA YA MTU KUTOKUIPENDA SIMU BOSS

11. kitaa cha notification hakipo kwenye iphone, mfani message ikiingia kama simu ipo silent huku android kataa kanawaka.

NI KWELI LAKINI KUMBUKA SIO ANDROIDS ZOTE BOSS

12. hutaweza kuseti default app, utaweza kudownload app mbadala ya kufungua mafaili lakini hutaweza kuiseti iwe ya moja kwa moja, kika ukifungua faili litafunguliwa na app ya mwanzoni

NI KWELI BOSS...LAKINI SIHISI KAMA KUNA TATIZO HAPA

13. huku andoid kuna feauture ya multiple user account, naweza nikatengeneza user yangu na usr ya mtoto, mtoto akiomba simu naweka user yake hataona chochote cha kwenye acxount yangu zaidi ya ishu zake kama games na cartoon, huko i phone inabidi mtoto asimamiwe anapotumia sim asije kwenda kwenye vitu vyako vya kiutu uzima

SABABU YA KUITA I PHONE MAANA YAKE NI YANGU (single user multitasking) LENGO LAO KUBWA NI SIMU MOJA ITUMIWE NA MTU MMOJA TU ....(ndo maana ikaitwa “I”)
HIO FEATURE UNAYOISEMA NIMEIONA KWENYE SAMSUNGS DEVICES...(sio account as such) NI APP TU INAITWA KIDS APPS HAPO UNAWEZA KUTENGENEZA INTERFACE YA KITOTO KWA KUIWEKEA PASSWORDS AMBAPO UKIWA KWENYE ILE INTERFACE HAUWEZI TOKA MPAKA UWEKE PASSWORDS LAKINI KAMA MTOTO NI MTUNDU ANAWEZA TU TOKA....SIO KWAMBA NI ACCOUNT AMBAYO UKIWASHA SIMU UNACHOOSE ACCOUNT IPI IRUN DEVICE HAPANA NI APPLICATION TU....KWENYE IPHONE PIA APP INAWEZEKANA IKAWEPO TOFAUTI NI KUWA KWENYE SAMSUNG INAKUJA NA SIMU HIO APP PIA UNAWEZA IFUTA TU UKIAMUA

14. Huwezi kufanya vitu vingi kwa mpigo (multi tasking )kwenye iphone, Huku android unaweza ukawa unaandika post huku jamii forums ukarudi kwenye kubadili muziki na ukarudi jamiiforums bila kuanza upya

HAPANA SIO KWELI BOSS INAWEZEKANA.....(iPhone pia ni multitasking boss sio single task)PIA KWA KUTUMIA IOS 14...FEATURES NYINGI SANA ZIMEONGEZEKA

NB:UKIONA KITU HAKIENDANI NA MAHITAJI
YAKO JIBU NI DOGOTU....HAKIKUTENGENEZWA
KWA AJILI YAKO...NDO MAANA KUNA OPTIONS
BOSS (TAFUTA KINACHOMEET MAHITAJI YAKO
) IPHONES NI KWAAJILI YA WATU WASIO NA
MAMBO MENGII KWENYE MATUMIZI YA SIMU
KAMA HAIKUFAI ANDROID WAPO KWAAJILI
YAKO
 
1.Hutaweza kusikiliza radio bila bando

NI KWELI...

2. Hakuna tundu la kuingiza earphone, hapa hadi ununue vifaa vya ziada, huku android ukinunua ear phonr unaitumia hapo hapo

Vp boss nipngezee udhaifu gani wa ziada kwamba haina nfc au battery life yake ya kawaida sana haiwezi kufikia hata simu za bei chee kama tecno 😁😁
 
Vp boss nipngezee udhaifu gani wa ziada kwamba haina nfc au battery life yake ya kawaida sana haiwezi kufikia hata simu za bei chee kama tecno [emoji16][emoji16]

Boss kumbuka nimesema Apple wanalenga huduma kwa watu wasio interact na simu muda mwingi.....yaani watu wenye matumizi madogo na ya kati battery life inatosha kabisa mkuu..
 
Sitoisahau siku mtu alipo sema android uchafu (samsung) wakati anatumia iPhones 3G, ndo nikamini wengi wanafata mkumbo wa jina.

Watumia iPhone ndo wangekuwa wanamiliki mjini VXR, au BMW X5, RANGE ROVER VELAR, tungekuwa tunatemewa makohozi barabarani wengi sio wastrabu wana maneno ya kashfa sana.

Ila kuanzia iPhone 8 kupanda juu zile ndo simu nazikubali ata mm
 
Sitoisahau siku mtu alipo sema android uchafu (samsung) wakati anatumia iPhones 3G, ndo nikamini wengi wanafata mkumbo wa jina.

Watumia iPhone ndo wangekuwa wanamiliki mjini VXR, au BMW X5, RANGE ROVER VELAR, tungekuwa tunatemewa makohozi barabarani wengi sio wastrabu wana maneno ya kashfa sana.

Ila kuanzia iPhone 7 kupanda juu zile ndo simu nazikubali ata mm

Ni ulimbukeni tu wa baadhi ya watumiaji mkuu...watu wa hivo sio walengwa wa devices za Apple achana nao mkuu
 
Unatumia iPhone ipi? Kuna namna ya kuweka ring tone chaguo lako ila ni kaprocess karefu. Google utapata procedure

Kuna namna pia ya kudownload nyimbo. Download app ya DOCUMENTS. Harafu hiyo namba 14: mimi mbona naweza kumulti-task?

But kiukweki mengi uliyoyaandika ni ya kweli. Hawa jamaa Apps nyingi mpaka usubscribe kwa pesa
 
Boss kumbuka nimesema Apple wanalenga huduma kwa watu wasio interact na simu muda mwingi.....yaani watu wenye matumizi madogo na ya kati battery life inatosha kabisa mkuu..
Hahah 😁😁😁 You just admitted it.

Hizo i phone kwa hapa tz umeme ukikatika siku nzima naonaga watu wenye nazo wanaanza kutembea na mi power bank utadhani ni pochi ,😁😁

Huku android hata kukiwa na umeme unaowaka usiku tu naweza kuchaji simu nikaitumia hadi kesho yake tena,

Hizo simu inabidi utupie mbali ukienda vijijini, binafai hata nikienda kijijini kwa wiki naweza kwenda na battery za ziada nilizochajia mjini maisha yakaendelea.
 
Hahah [emoji16][emoji16][emoji16] You just admitted it.

Hizo i phone kwa hapa tz umeme ukikatika siku nzima naonaga watu wenye nazo wanaanza kutembea na mi power bank utadhani ni pochi ,[emoji16][emoji16]

Huku android hata kukiwa na umeme unaowaka usiku tu naweza kuchaji simu nikaitumia hadi kesho yake tena,

Hizo simu inabidi utupie mbali ukienda vijijini, binafai hata nikienda kijijini kwa wiki naweza kwenda na battery za ziada nilizochajia mjini maisha yakaendelea.

Ni kweli boss kama mimi simu yangu ikiwa full charge asubuhii naweza itumia mpaka saa 5 usiku bila kuicharge nina matumizi ya kawaida ya simu
 
Unatumia iPhone ipi? Kuna namna ya kuweka ring tone chaguo lako ila ni kaprocess karefu. Google utapata procedure

Kuna namna pia ya kudownload nyimbo. Download app ya DOCUMENTS. Harafu hiyo namba 14: mimi mbona naweza kumulti-task?

But kiukweki mengi uliyoyaandika ni ya kweli. Hawa jamaa Apps nyingi mpaka usubscribe kwa pesa

Mkuu yani ndio inabidi uwe mtundu mtundu ili uruke viunzi hivyo, Kwa huku android ukinunua simu hakuna haja ya utundu utundu ili udownload miziki au pdf au kuweka ringtone, ni kitu kinachowezekana pindi ukinunua simu hakuna sarakasi

Hapo kwenye multi tasking ngoja nifatilie kidogo naona nilijikwaa, itabidi niweke point kwamba i phone haikai sana chaji
 
Ni kweli boss kama mimi simu yangu ikiwa full charge asubuhii naweza itumia mpaka saa 5 usiku bila kuicharge nina matumizi ya kawaida ya simu
Basi una tumia kistarabu, sehemu nayofanya kazi wenzangu wenye i phones yani power banks zimegeuka kama pochi, Huku android ni mwendo mdundo hakuna mawazo ya chaji inakata saa ngap
 
Aliyeandika hii post huenda hajawahi kutumia simu ya iphone, amenishangaza aliposema kuwa huwezi kufanya mult tasking, mfano ubadili mziki then urudi jamii forums pasipo kuanza upya???? Seriously?
Lakini jambola kuchekesha ni sawa ukanunue Evoque halafu utake ipigisha kazi za Land cruiser XL halafu ikishindwa ualamike hili gari siyo kabisa. Au ununue Lamborghini utake lipitisha njia ya korongo halafu liishindwa ulalamike. Ndiyo maana hiyo ikaitwa iOS na hii ikaitwa Android zote zina malengo tofauti. Ni sawa utumie Chrome OS halafu ulalamike mbona haifanyi kazi kama Windows OS.
 
unajisifu kutumia bando kubwa hujioni ww hujielewi
kamq bilget tajilomkubwa anaomba chenchi ww je
nani haswa unae jitia una pesa za kutanua ovyo
huna heshima ya pesa ww

Sent using Jamii Forums mobile app
Dunia inahamia online sasa hivi get ready, hata windows katoa OS iko kama Chrome OS bila internet haifanyi kazi, OS kama adobe suits zinahamia kwenye cloud, siyo hiyo tu hata OS nyingine. Kila kitu kinahamia online huenda huko mbeleni hata tv nyingi zitakuwa kama Netflix lazima upige bundle. Ni mabadiriko tu haina jinsi unless unataka kuishi kwenye wakati uliopita na kumbuka,
If you live in the past, the future will never find you.
And by the way kustream radio hakuli bundle kubwa sana unaweza istream hata kwa lisaa isle hata mb 100
 
1. Hutaweza kusikiliza radio bila bando

3. Hakuna tundu la kuingiza earphone, hapa hadi ununue vifaa vya ziada, huku android ukinunua ear phonr unaitumia hapo hapo

3. Andaa laini moja tu, kuna matoleo machache sana yenye laini 2.

4. Kudownload nyimbo hata humu jamiifroums ama mtandaoni ni ishu nzito

5. Kuhamisha vitu kutoka kwenye simu kwenda kwenye pc ni shughuli pevu.

6. Apps kibao zipo android kuliko iphone

7. Non restricted access ipo kwa android kwa sababu unaweza ku root ukafanya vingi vya ziada, Kwa iphone hapa umebanwa hutaweza kabisa

8. Kwenye android unaweza kutumia simu kama remote kwa vifaa kama samsung, lg ,n.k....huko kwa apple so rahisi labda kwa tv zao za apple tv

9. Android utaweza kuback up vitu vyako kwenye memory card na pia unaweza kubadili battery kwa wepesi bila hata kwenda kwa fundi, lwa iphone hizi feautures sahau.

10. Kwenye i phone ku customize vitu kuna vikwazo, mfano ringtone utachagua tu wanazotaka wao iphone na inakuwa sekunde 30 tu, huku android ringtone uutaweka hata ya kingwendu ni wewe

11. kitaa cha notification hakipo kwenye iphone, mfani message ikiingia kama simu ipo silent huku android kataa kanawaka.

12. hutaweza kuseti default app, utaweza kudownload app mbadala ya kufungua mafaili lakini hutaweza kuiseti iwe ya moja kwa moja, kika ukifungua faili litafunguliwa na app ya mwanzoni

13. huku andoid kuna feauture ya multiple user account, naweza nikatengeneza user yangu na usr ya mtoto, mtoto akiomba simu naweka user yake hataona chochote cha kwenye acxount yangu zaidi ya ishu zake kama games na cartoon, huko i phone inabidi mtoto asimamiwe anapotumia sim asije kwenda kwenye vitu vyako vya kiutu uzima

14. Battery haikai sana, hapa wenzangu wenye i phones wengi wanajiteteaga i phone sio simu ya kutumia tumia kila muda basi naishia kucheka tu napoona wanatembea na power benki simu zao zinapokata moto,
iphne natumia mwaka wa 6 uu, ni ufahari tu ia tunakosa mambo mengi sana,
 
Back
Top Bottom