iPhone ni kama gereza la kifahari. Ni kwajili ya fasheni tu, hutaweza kufanya vitu muhimu vifuatavyo...

Sasa hapo unamshangaa nini????[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mbona kama unakazia ukweli kuwa haiwezi kufanya Multi task
Iphone inafanya multistaking na ilianza kuwa pure multi tasking kuanzia iOS 7 kabla ya hapo haikuwa pure multi-tasking. Namshangaa kwa kusema iphone haifanyi multi-tasking huenda simu ya mwisho ya iphone kutumia ilikuwa labda iphone 5.
Nilichoendelea kuandika hapo chini nilikuwa naongea malalamiko yake mengine kama ya ring tones n.k hayo yanawezekana pia kufanyika kwa mtu anayejua kucheza na iphone ila mtu akifanya hayo nitamshangaa kwanini apoteze muda kununua iPhone wakati anataka kufanya customization, si bora tu arudi android maana iPhone haijatengenezwa ikilenga waumiaji wanaotaka hicho.
 
mwambie 11 Max
yeye anayo ambayo ina tundu la ear phone, i phone zenye matundu ya earphone zilishaacha kutengenezwa kitambo sana. Yawezekana mwenzetu anatumia i phone 5 ya mwaka 2014 😁😁😁 wenzake wanaingia i phone 12 hivi karibuni.
 
Iphone inafanya multistaking na ilianza kuwa pure multi tasking kuanzia iOS 7 kabla ya hapo haikuwa pure multi-tasking. Namshangaa kwa kusema iphone haifanyi multi-tasking huenda simu ya mwisho ya iphone kutumia ilikuwa labda iphone 5.
Nilichoendelea kuandika hapo chini nilikuwa naongea malalamiko yake mengine kama ya ring tones n.k hayo yanawezekana pia kufanyika kwa mtu anayejua kucheza na iphone ila mtu akifanya hayo nitamshangaa kwanini apoteze muda kununua iPhone wakati anataka kufanya customization, si bora tu arudi android maana iPhone haijatengenezwa ikilenga waumiaji wanaotaka hicho.
Hapo kwenye multi tasking nakiri nimejikwaa na nime edit post, nmeweka upungufu mwengine wa i phone ni kero kwenye upande wa chaji, isome uje uitetee
 
Ina weaknesses zake, lakini kwa upande wangu naona sawa. Mkuu hivi unaegemea ununue Chrome book halafu uitumie kama PC yenye windows? jibu ni hapana hazijalenga wtumiaji wanaofanana ukiona mtu analalamika hivyo basi tatizo siyo OS bali yeye alinunua kitu ambacho hakimlenga yeye.
Kuhusu chaji yes, kwa muda mrefu walikuwa na tatizo la chaji ila walau kwenye matoleo yao altest wameanza kujitahidi. Nakumbuka nilikuwa na iPhone 5s kipindi hicho nilikuwa naichaji hata amra 4 kwa siku
 
Sijawahi kuvutiwa na iphone ,ni mtizamo tu masela msijenge chuki.
kuna ile tendency kwamba ukitumia kitu fulani ambacho ni cha gharama unaonekana tajiri...huo mkumbo ndo unaopelekea mtu fulani kuhisi akimiliki Apple ataonekana class yake ni ya juu...japokuwa watu wengine wanamiliki just kama kitu cha kawaida, wengine wanamiliki kwa sababu ni watu wachache wanamiliki....
 
Hvi kwenye hizo Iphone sis wazeee wa kanji au team kubet tunaweza kuWeka zile apk zetu mfano mbet,parimatch na zile nyingne?
 
Ina weaknesses zake, lakini kwa upande wangu naona sawa. Mkuu hivi unaegemea ununue Chrome book halafu uitumie kama PC yenye windows? jibu ni hapana hazijalenga wtumiaji wanaofanana ukiona mtu analalamika hivyo basi tatizo siyo OS bali yeye alinunua kitu ambacho hakimlenga yeye.
Kuhusu chaji yes, kwa muda mrefu walikuwa na tatizo la chaji ila walau kwenye matoleo yao altest wameanza kujitahidi. Nakumbuka nilikuwa na iPhone 5s kipindi hicho nilikuwa naichaji hata amra 4 kwa siku
Ume reply kwa hekima na busara, ki ukweli kama mtu huna shida na hivi vikwazo vya i phone basi ni simu safi tu, Tatizo lipo kwa wengi wanaonunua kwa mkumbo na kuanza kulamika kwenye vitu ambavyo havipo kwenye hizi simu
 
Hvi kwenye hizo Iphone sis wazeee wa kanji au team kubet tunaweza kuWeka zile apk zetu mfano mbet,parimatch na zile nyingne?
Nadhani zitakuwepo maana ni kampuni kubwa hizi zinatafuta wateja wa kubet kwa kila namna, Ila bado ukweli unabaki pale pale huku kwenye i phones kuna app chache
 
kuna ile tendency kwamba ukitumia kitu fulani ambacho ni cha gharama unaonekana tajiri...huo mkumbo ndo unaopelekea mtu fulani kuhisi akimiliki Apple ataonekana class yake ni ya juu...japokuwa watu wengine wanamiliki just kama kitu cha kawaida, wengine wanamiliki kwa sababu ni watu wachache wanamiliki....
Hakuna cha kuongezea hapa, umegongelea msumari mpaka mwisho
 
Ume reply kwa hekima na busara, ki ukweli kama mtu huna shida na hivi vikwazo vya i phone basi ni simu safi tu, Tatizo lipo kwa wengi wanaonunua kwa mkumbo na kuanza kulamika kwenye vitu ambavyo havipo kwenye hizi simu
yah tatizo watu tunanunua vitu kwa kufuata trend na tuonekane tuna status flani. Mtu yuko radhi ajichange akanunue simu ya milioni mbili wakati hana la maana analoifanyia zaidi ya kupiga picha za kupost insta na hajui kama hiyo simu aliyonunua ina limitation kuna vitu hatoweza kufanya.
Hivi kwanini sony kafail na simu zake?
 
Hvi kwenye hizo Iphone sis wazeee wa kanji au team kubet tunaweza kuWeka zile apk zetu mfano mbet,parimatch na zile nyingne?
iPhone apps zake siyo apk ni iPA ila apps zakae utazipata app store
 
Back
Top Bottom